Recent content by elmazrouy

  1. E

    mwenye ujuzi na Fritz box 6810 LTE

    Waone SMILE www.smile.co.tz , wanacho hicho kifaa. Ni 4G LTE,speed yao mzuri.
  2. E

    ushuru wa gari chakavu TRA

    Kwa sasa ni magari yote NON-UTILITY(LUXURY CARS) yaliotengenezwa mwaka 2002 kuja chini, kwasababu tupo karibu na mwaka 2013 ikifika 2013 basi yataanza ya 2003 hivyo kuweni makini wale mnaonunua magari. Nigeshauri ununue gari ya mwaka 2004.
  3. E

    Msaada wakuu internet ya vodacom Tanzania

    VODACOM hawana kitu UNLIMITED, ni ujanja wa kibiashara tu.
  4. E

    vodacom net bundle v/s airtel net bundle

    3G zote zina speed nzuri, zingatia sana coverage na modem yako nazo huchangia speed nzuri.
  5. E

    kweli nimeamini kama voda wana 7.2 mbps

    speed ya kawaida tu, na sidhani kama hio speed inatulia. Baadhi ya wakati uwezo wa modem unachangia speed kubwa. Surfing speed ya voda ni nzuri, tatizo lao internet yao inadisconnect, haiwezi kudumu kwa muda mrefu, mfano Zantel inaweza kukaa masaa 12 bila kudisconnect.
  6. E

    Nahitaji Lenovo T510 battery-reasonable price,wapi nitaipata?

    is this what are you looking for? ! < New 6 Cell Laptop Battery for IBM Lenovo Thinkpad T410 T410i T510 T510i W510 | eBay >. NOTE: NAOMBA DETAILS KAMILI IKIWEPO VOLTAGE KAMA NDIO HIO BASI ANDAA 40 USD. Delivery after three weeks.
  7. E

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    as per TRA RSP V.13 SUBARU FORESTER YOM: 1999 CIF DSM USD 2,700. KODI PAMOJA NA USAJILI NI 3,960,000/=TZS. TPA/ICD WEKA 400,000/=TZS, SHIPPING(D/O) WEKA 150,000/=TZS, PLATES WEKA 90,000/=, A.FEE WEKA 300,000/= HIVYO TOTAL NI 4,900,000/=TZS BUDGET YAKO USIPUNGUE MIL 5. SORRY NILIKUWA OUT.
  8. E

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    ukiwa na shaka gari yoyote kutoka japan, kuhusu kodi, bei za manunuzi huko japan na full budget kutoka japan hadi kulipia kodi na kupata gari yako ikiwa na usajili karibu sana @ moto
  9. E

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    as per tra database v13. Gari yako swift yom 2003 itapita kwa cif dsm 2,200 usd. Kodi pamoja na usajili ni 2,194,000/=tzs tpa/icd charges weka 300,000/=tzs, shipping(d/o) weka 130,000/=tzs plates weka 90,000/=tzs, agency fee weka 300,000/=tzs total ni approx. 3,014,000/=tzs,hapo utakabidhiwa...
  10. E

    Taxpayer Identification Number.

    its free,however i know Tanzania! Get it here,move out from queue bofya and register for your TIN online Online TIN Application ,go with your passport, or any officially recognised ID. Thanks
  11. E

    Msaada kuhusu Import duty ya TV na Music systems

    Exemption(misamaha ya kodi) hutolewa kwa watu maalumu(WAEKEZAJI) na kwa vitu maalum kama capital goods, pia kuna unafuu wa baadhi ya bidhaa kwani huwa na 0 rate kama computers, au nyengine unalipia asilimia 18 tu ya VAT,pia kuna baadhi ya bidhaa unalipia 25% 10%,kodi nyingi zipo kwenye magari...
  12. E

    Msaada kuhusu Import duty ya TV na Music systems

    Ndugu yangu hizo ndo rate za kodi za Tanzania, baadhi ya wakati unakuja kuona kodi ni kubwa ukilinganisha na thamani halisi ya item yako.
  13. E

    INAWEZEKANA Ku-Unlock Airtel Modem HUAWEI E153

    Huawei E153 and almost all 3G dongles are 100% permanently UNLOCKED, but am sorry to tell you that we have to pay for it, i can however remotely post-paid or physically pre-paid unlock it,its upto you to opt either way. Thanks
  14. E

    Msaada kuhusu Import duty ya TV na Music systems

    Total Value( Customs Value: CIF) Dar Es Salaam, 25% na 18%. Mfano kama Smart TV ya samsung Nch 32 ni dola 900 basi kodi yake ni 900x25%= 225(225+900)=1125x18%=205.50, hivyo 225+205.50 = 427.50 USD. Kodi ni 427.50,pia kutakuwa na gharama nyengine ndogondogo kama za shipping na handling pamoja na...
  15. E

    Check this out internet faster kaa mkao wa kula

    they must be not be busy for nothing, it should be there some improvement if you talk about speed, yes i agree however i never tried it...
Back
Top Bottom