Nahitaji Lenovo T510 battery-reasonable price,wapi nitaipata?

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wakuu natanguliza salaam.Wapi naweza pata kwa bei nzuri Battery hiyo hapa Tanzania au kununua nje wanaoweza kunitumia,natanguliza shukurani.Naomba mni PM au rakeyescarl@yahoo.ie(sio yahoo.com)
Asante.
RE.
 
niliwahi kuagiza battery ya lenovo laptop model 3000c200 ikafanya kazi wiki mbili pamoja na kwamba ilikuwa na guarantee ya miaka 3 nilishindwa kuirudisha kwani ukiangalia gharama za usafiri ni heri ununue nyingine hivyo sikushauri kununua kupitia ebaay
 
Back
Top Bottom