Recent content by elmagnifico

 1. elmagnifico

  Zitto ataiua ACT-Wazalendo

  Umesema ukweli mkuu. Chadema walisema msaliti akafukuzwa ila mpaka leo bado wanamuandama wakati alianzisha chama chake.
 2. elmagnifico

  Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

  Kwakweli hakuna mwenye nguvu zaidi ya mwenyekiti wamemwacha tu arukeruke kama maharage aive
 3. elmagnifico

  INAUZWA Vifaa vya studio vinauzwa

  Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake. Au kamata vyote kwa 500000 Vinapatikana bunju B. 0677508568
 4. elmagnifico

  Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

  Wapo wengi mkuu akina mwamposa 🤣🤣
 5. elmagnifico

  Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

  Hilo ndilo nilimaanisha ndiyo maana nimetumia neno biashara
 6. elmagnifico

  Unaionaje logo yetu? Tuboreshe wapi? Tunapokea maoni, ushauri na mapendekezo

  Kwakweli kwa upande wangu naona haziko clean and modern
 7. elmagnifico

  Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

  Yani nliona hii picha nikacheka sana. Aliyeturoga waafrika katumaliza
 8. elmagnifico

  Ni yupi Mwanapinduzi wa Teknolojia kati ya TESLA na EINSTEIN.

  Apple kuwa na patents za technology haina maana ni idea za mwanzilishi, hata thomas edson alipatent vitu ambavyo hakuvumbua vilivumbuliwa na maengineer aliokuwa kawaajili. Elon Musk maengineer wanamsifu kwamba anaweza jihabarisha akawa na uelewa mkubwa wa tech za makampuni anayosimamia. Hivyo...
 9. elmagnifico

  Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

  Mpesa yes hata kwenye maelezo nimeandika mpesa inakubali, ukishaiset tu basi hata utoe line as long as unajua password inakubali. Ila airtel an tigo pesa ukitoa line nayo inakusignout. Pia hata kuset app inabidi line iwe kwenye simu ndipo inakubali labda wana ujanja wa kuzitrick.
 10. elmagnifico

  Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

  Mkuu hii ya kutumia airtel app haiwezekani. Ukitoa line kwenye simu ukaweka nyingine ukifungua app inadai uweke line na utumie internet ya airtel. Tigo pia ni same kasoro voda (napenda voda kwa hili). Labda kuna njia nyingine wanayotumia. Au inawezekana labda ukiendelea tumia internet ya airtel...
 11. elmagnifico

  Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

  Ilifail huenda iliwahi unajua time matters in everything
 12. elmagnifico

  Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

  Kweli mkuu. Speculation zinadai kifaa cha apple kitakachorithi iphone ni AR glasses
 13. elmagnifico

  Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

  Na uliku2a waonekana mnyama ukipost status fb halafu chini ikaandika kuwa umepost kwa bberry. Watu nipe key yako ya bm messenger 🤣🤣
Top Bottom