Kwa maelezo uliyotoa inaonyesha mkeo hataki kubeba mimba kwa sasa. Tatizo linaweza kuwa ni wewe mwenyewe au yeye. Wanaume tunapenda kuahidi vitu na mipango isiyotekelezeka. Mwanamke akiona hali hiyo na mipango endelevu ya kuitunza familia haieleweki basi ni kuzaaa kwa mpango. Mpende mkeo maana...
Mkuu naomba nikupe pole ya dhati kwa kuwa inaonyesha unaweza usije kuoa tena maishani mwako. Niaminivyo mimi ni hatari kumpata mwanamke mnyenyekevu, huyo ni mwanamke atakayekubali kutiii kila unachomwambia. Na hicho ndo kisa ki kubwa cha kuachana na ngozi nyeupe. Kumbuka ndoa mnaungana watu...
Ndugu Jambazi huyo mtu anahitaji msaada na mimi nimefikisha swala lake kwa mhusika. Amesema anataka aongee nae ili aweze kumsaidia. Lengo ni mwenzetu apate huduma tu
Mkuu MKWANO. Umeamkaje leo? Nilikwambia jana ueleze jinsi ya kuwasiliana na wewe ili usaidiwe. Swala lako limefikishwa ulikotaka lifike. Natafuta njia ya kuwasiliana na wewe. Kama bado una nia hiyo elekeza njia ya kukupata
Mkuu pole sana. Nashindwa kuamini kama kweli ulimuona Katibu Mkuu wa TAMISEMI na bado haja kusaidia. Katibu Mkuu ninayemjua mimi!!! Naomba kujua kama kweli ulimuona mwenyewe au Msaidizi. Naomba ujibu kwa uhakika. Hata hivyo nina wasiwasi na utaratibu unaotumia kama kweli wewe ni mtumishi wa Umma.
Mkuu pole sana. Ila sijakuelewa naomba ufafanuzi niweze na mimi kishauri. Kilichokataliwa ni research tittle au research proposal? Kama tittle ilishakubalika ilikuwaje wakatae proposal? Nafikiri Mkuu hapo umekosea au umechanganya mambo. Na je huna supervisor wa kukupa maelekezo? Nahisi...
Marxplups. Muundo wa Halmashauri unawakilisha Wizara za serikali isipokuwa Wizara ya Ulinzi na Wizara ya Mambo ya Ndani. Halmashauri zipo kwa ajili ya kutekeleza shughulikia zaidi miradi na shughuli za kimaendeleo ngazi za wilaya, Kata na vijiji au mitaa. Wakala watakuwa na Mtendaji Mkuu na...
The Beast Among Men. Hapo unachanganya watu. Hawataelewa na unawafanya wasielewe. Halmashauri zote sina idara zinazowakilisha Wizara nyingi isipokuwa wizara ya ulinzi na wizara ya mambo ya ndani. Halafu kuna wale ambao wako chini ya Mkuu wa Wilaya yaani Polisi, TAKUKURU, Usalama wa Taifa, na...
Habari wana familia wa JamiiForums. Idara ya ujenzi ndani ya Halmashauri zote itaendelea kuwepo kama kawaida. Kinachofanyika ni kuhamisha watumishi wachache ndani ya idara hiyo ambao wanahusika na matengenezo ya barabara kwenda wakala mpya wa matengenezo ya barabara katika wilaya. Na bado baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.