Sasa nimeanza kumwamini aliye wahi kuwa dactari bigwa wa magonjwa ya akili pale mirembe dr. Aligawesa alisema kuna "mstari mwembamba sana kati ulokole na ugonjwa wa akili" akasema kati ya walokole kumi ,saba ni wagonjwa wa akili.🏃🏃
Unaanza kuitwa wee kaka mara imebadilika wewe Mkaka, mara wew Baba ina kuja wew Mbaba ,ndo utajua hapo muda si mrefu naitwa Babu ila kabla ya kuitwa babu utasikia we Mzee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.