JamiiForums Tanzania
MSALATO
Wasalaam waungwana, nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda msalato, nina wasiwasi kwasababu kuna taarifa zinasambaa kwamba mwanafunzi akishindwa kuthibitisha nafasi yake kabla ya june 10 basi kuna uwezekano wa nafasi yake kupewa mtu mwingine.
Je, ninaweza vipi kuthibitisha uteuzi huu ili nafasi ya...