Giza la Jiji lilikuwa si mwanga mdogo tu wa usiku; lilikuwa kiumbe hai kilichomeza kila barabara na kichochoro pindi jua lilipozama chini ya upeo wa bahari. Katika jiji la Dar es Salaam, huku kelele za mchana zikififia, anga lilibadilika rangi kutoka kwenye machungwa yaliyokolea na kuwa weusi...
athematically and scientifically, what we call a coincidence is usually just the law of truly large numbers at work. In a world with billions of people and infinite daily interactions, incredibly rare events become statistical certainty. Our brains are naturally wired for pattern recognition...
ilinichukua muda kuelewa alichokua akikimaanisha sikua na papara nilimuita mbele ya rafiki yangu nikasema ukweli hapo ndo ulikua mwanzo mpya wa kuwa huru upande wangu
Wakuu salama,
Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo.
Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.