Recent content by elisamehe ndosa

  1. E

    Whatsapp na picha za kutisha..

    Pia kuna picha moja ya yule kijana aliye mpasua mtto ubongo na kujikata uume kiukwel haikuwa picha nzr kuiweka kwenye mtandao ikiwa ni miongoni mwa picha mbaya zinazo wekwa kwenye mitandao, kwa mtoa mada cyo whats app peke yao hata iyo mitandao mingine TCRA shugulikien hili.
  2. E

    Salama Jabir punguza usela

    Mbona nasikia salama ana mtto kazaa na ben kinyaiya
  3. E

    Salama Jabir punguza usela

    Tena yy anapenda xana kuwauliza wasanii walio kuja kwenye kipindi cha mkasi kuwa umeoa au una mchumba japo yy salama hapendi kuweka wazi mambo yake.
  4. E

    Je punyeto kwa mwanamke usababisha hisia za kusagana?

    Mi nafikir kupiga punyeto kwa mwanaume hakupelekei ushoga hata kidogo labda wenzetu wanawake watuambia kwa wao vp wanapo jusugua au kupiga nyeto.....Kwa ziada nyeto ni nzr xana ukiweza kuipiga kwa mpangilio maana inakuepusha na majanga mengi
  5. E

    Lema: Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni dhambi ya woga

    Together we shall make changes, ikiwa na maana kuwa umoja ni nguvu na utengano n udhaifu so lazima tushikane vijana tuwe kitu kimoja ili kuleta mabadiliko ni hayo tu.
  6. E

    Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

    Kwa swala laevolution hatupat jibu kamili kwa kuwa tukiangalia ulaya mbona kuna watu weusi wamezaliwa kule na bado rangi yao ni nyeusi tu au tukiangalia maeneo mbalimbali ya ulaya na asia mbona kuna joto na bado kuna wazungu.
  7. E

    Mambo ya uswaxiizzzzx

    Mhh! kwel akufaae kwa dhiki ndiye rafiki.
  8. E

    Ukonga Yageuka Kisiwa: Wananchi walaani na kuchana bendera za CCM

    Imefika wakati sasa watanzania tujiulize na kujijibu ya kuwa ni nani ambaye anaweza kutupa maisha bora cyo kila siku kulalamika tu tuchague chaguo lakwel hao tayari wameshindwa 2015 cyo mbali
Back
Top Bottom