Recent content by eliringia babueli

  1. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: UKAWA epukeni kufanya makosa kama ya CCM wakati wa kampeni

    Tunaimani na ukawa wapo makini watakuja na sera nzuri kuliko tulizoziona leo
  2. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Mwaka huu ccm haitapata kura za wanywa viroba
  3. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Tunataka tuone yule aliesema raisi hatatoka kasikazini wakati lowasa anaapishwa atafamyaje ili ajue yeye sio kitu hii nchi INA wenyewe na wenyewe ni watanzania
  4. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongea na Waandishi wa habari, anaendelea Vizuri

    Mungu akujali upone haraka ili uwezekuja kulisukuma gurudumu la mabadiliko amen
  5. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya usaliti aliyo nayo Lowassa ilianzia kwa baba yake mzazi wakati wa kudai uhuru

    Lowasa ni raising wako acha kuweweseka
  6. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameanza kuishi kwa uwongo na udanganyifu!!

    Jitahidi utakuwa mkuu wa wiliya ya temeke msimu ujao
  7. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Act lile ni chaka bovu wapo wahuni tuu
  8. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Juhudi za CCM kumbeba Magufuli zimezidi kugonga Mwamba

    Mwaka wa ccm kuzikwa rasmi ni huu kutokana na ujambazi wao lazima ccm iende makumbusho mwaka huuu
  9. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkubwa wa Hadhara Kufanyika Kimara Mwisho,Prof Jay,Sugu na Mh Mnyika kuwasha moto

    Tutahuzuria kamanda haina noma
  10. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Lipumba ni msaliti hata kama angesamishwa slaaa angezingua maana alikua anatamani yeye asimamishwe kwe uraisi
  11. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Mabango ya Lowassa 2015 sio Kampeni

    Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
  12. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

    Mwilima uzuri autafutwi kwa kujikoboa umechemka umekua kama una ugonjwa wa mapunye kumbe umejikoboa
  13. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA watachukua nchi mwaka 2015

    Usiulize majibu ukawa wanachukua nchi acheni kushupaza shingo kuona mnaona lakini mnajifanya hamuoni
  14. eliringia babueli

    JamiiForums Tanzania Mwendo huu sidhani kama tutafika, tukipishana jambo kidogo tu kasusa

    Slaa no mbinafsi ndio maana
Back
Top Bottom