Mabango ya Lowassa 2015 sio Kampeni

Mabango ya Lowassa 2015 sio Kampeni

mi ni raia nisio na chama

napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah

Ivi zile chupi za magufuli zile ni kampeni?
 
mi ni raia nisio na chama

napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah
Hapana,SIO KAMPENI.
 
mi ni raia nisio na chama

napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah
Yatakuwa ya utambulisho tu, ya kampeni bado.
 
Hayo ni maandalizi tu ya kumtambulisha mgombea. Subiri kazi yenyewe ya kumtambulisha. CCM waliasisi, UKAWA wanaendeleza tu.
 
mi ni raia nisio na chama

napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah
Ni kampeni, sasa wewe unatakaje?
 
mwennye kipenga si apulize tu ccm waone vumbi la ukawa? ndio watajua ni makapi au punje halali
 
Back
Top Bottom