Juhudi za CCM kumbeba Magufuli zimezidi kugonga Mwamba

Juhudi za CCM kumbeba Magufuli zimezidi kugonga Mwamba

Abdu muhamedi sikoseyi wewe ni Mpemba Huns unalojuwa zaidi ya kukashifu na kukosoa ilimradi mtugombanishe hapa bara sie hatuna ushabiki wakunyimana 'mbara hayuko kama mpemba au Kenya
 
Ulilala umeamka kumekucha wenzako wotee hawko hali mbaya hujaiona kwa lipumba kwa dr slaa uione kwa magufuli?acha uongooo hiyo tayari ni dola
 
Sura zilizochoka huzionivkwa lowasa magufuli kuhama bado ananguvi za akili piya hata azimio anaweza siyo huyo babu lowasa yuko hoi mbona hata neno lakutamka mnakosa jaribu kutafakari aliyochoka ninani kwa lowasa na magufuli
 
magufuli ni msimamiaji sio muongozaji hawezi kabsa hata kujieleza tabu
 
kikwete ni mpango wa Mungu...coz kupitia yeye kumbe tunapata uhuru wa kweli dhidi ya nduli CCM....inakufa mikononi mwake na waTZ tunakuwa huru....now nimeelewa huo msemo wa kuwa kikwete ni mpango wa Mungu
 
...msihofu lowassa akichukua nchi maguli atapewa kazi ya kujenga magereza ya kuwajaza waliotumia magogoni kama pango la wanyang'anyi...
 
Hauziki Magufuli....he is not marketable...!!!

CCM hata sura zao zinaonyesha washashindwa....

Lowassa, Ukawa ni mpango wa Mungu..."!!!

Magufuli, CCM wataanguka vibaya sana sanaaa, hawana jinsi....jaribuni kupita pita mitaani, vijijini, mijini, kwa waalimu, wafugaji, wana vyuo, machinga, bodaboda, wakulima, wafanyakazi, wakristo, waislam, Zanzibar, UVCCM, BAVICHA, CCM, UKAWA, UWT, yaani 85% kura ni Lowassa, ukawa tu...ulizieni...

Sioni CCM pa kuponea... sioni...Magufuli hajui SIASA....as well wananchi washapoteza Imani sana na CCM, na JK, so kumuuza Magufuli ni ngumu mnoooo...

Hali ni mbaya CCM kuliko tujuavyo....!!

I satute you Mr. President for your great post!
 
CCM iko kwenye wakati mgumu sana kisiasa baada ya kugundua kuwa mgombea wake wa Urais John Pombe Magufuli sio mtu mwenye nguvu na ushawishi mpana katika siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.

Habari za ndani ya CCM zinasema kuwa makada wengi wa CCM wana wasiwasi mkubwa sana kuhusu uwezo wa Magufuli kuweza Kuivusha CCM October kwa kuwa mpaka sasa Upepo wa kisiasa bado umeshindwa kuvumishwa ipasavyo na Magufuli.

Hatua hizi kadhaa zimeshafanyika ili kumpa Publicity Magufuli lakini hazijazaa matunda.
1/Kumtambulisha Magufuli katika mikoa mbalimbali.

2/Serikali nzima ya sasa ikiongozwa na Kikwete kumsindikiza kuchukua Fomu ya kugombea urais.

3/Vipindi vingi vya Television na Radio vyenye kuonyesha kazi na maisha ya Magufuli.

4/Ufunguzi wa ujenzi wa barabara mbalimbali nchini.

5/Hafla kubwa na wasanii wa Bongo katika ukumbi wa Mlimani City iliyogharamiwa kila kitu na serikali kupitia Ikulu.

CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA.
(A)Muingiliano wa ratiba ya Magufuli ya matukio ya kiserikali, kiCCM na kijamii. (Hakuna ratiba kamili, kila linalopangwa na CCM linakinzana na ratiba nyingine za Magufuli)

(B)Kukosekana kwa Timu maalum ya kuratibu hizo shughuri za kisiasa za Magufuli. Wakati CCM ina ratiba zake, January Makamba anataka apewe hilo jukumu binafsi la kusimamia kwa madai anauzoefu mkubwa katika hayo mambo. Bahati mbaya sana Magufuli hapendi kabisa mfumo wa Makamba.

(C)Ubishi binafsi wa Magufuli. Magufuli amekuwa akipinga utaratibu wa kupangiwa ratiba ya matukio pasipo kuulizwa kwanza.(mfano ni lile tukio la kususia kwenda kufungua michuano ya Kagame, na badala yake aliamua kwenda Mwanza)

(D)Mlolongo wa kiitifaki uliopo sasa katika maisha ya Magufuli
(Kwa sasa anaongozwa na kulindwa na maafisa usalama wa serikali na hivyo utaratibu wa kupanga ratiba zake za kisiasa unataka uchunguzi wa kiinteligensia, kitu ambacho kinachukua muda kidogo)

(E)Baadhi ya wagombea wa CCM waliokatwa kwenye mbio za urais kususa, kukaa kimya au kuonyesha kutoridhishwa na mchakato(Hapa wanatajwa Lowassa(Huyo ameshahamia UKAWA lakini hakuwahi kuonyesha kukubali uteuzi wa CCM Dodoma), Mizengo Pinda, Samweli Sitta, Mark Mwandosya nk. Hii imepelekea Kikwete ndio awe mstari wa mbele kumshika Magufuli mkono na kumtembeza mitaani.
Mtajibeba waharifu
 
magufuli ni msimamiaji sio muongozaji hawezi kabsa hata kujieleza tabu

Pombe Magufuli ni mtu wa saiti, yaani Nyapara sio Kiongozi kwa maana ya Meneja, kazi yake ni kutumia miguvu mingi bila busara!
 
Mwaka sisiemu wamelamba dume hawaponi hats kwa goli LA mono. Chama kitaondoka name prof Wa kichina oktoba 25
 
Hata JK akipewa rungu tena agombee ccm hawezi shinda uchaguzi
 
Back
Top Bottom