Wataichukuwa Monduli Na Hai Tu Na Labda Kidogo Kibororoni Lakini Si Tanzania Period.
Hili sio swali, yaani usiulize majibu, kama unaswali ndio uulize!.
Pasco
Tukiangalia kwa jicho ndani ukawa wamejipaga sana na wanaonekana wako seriously kwenye kushika dola
Lowasa anachukua nchi gani? Kenya au Uganda Rwanda? Naomba ufafanuzi please
Vijana wa Lumumba ni vema muanze kujiandaa kisaikologia kwani mwaka huu mtakaa tu. VIVA UKAWA!!!
Vyama ambavyo mtu mmoja anaweza akavichukua na kuvifinyangafinyanga kama ugali havifai kuongoza nchi.
Hili sio swali, yaani usiulize majibu, kama unaswali ndio uulize!.
Pasco
Thubutu kwa kipi ingewezekana ila kwa SSA hiwezekaniki tena ujue hiii figisu figisu watu na akili zao wamestuka walimpondaaa saaana Leo yy ndo anafaaa kwa hili wengi waliobaki ni vishabikii maandazi ila viti bungeni wanaweza kuongeza vingi so urais
Usiwe na shaka Huu ni mpango wa MUNGU
Vyama ambavyo mtu mmoja anaweza akavichukua na kuvifinyangafinyanga kama ugali havifai kuongoza nchi.