Recent content by elineema William

  1. elineema William

    JamiiForums Tanzania Kifo cha tajiri wa mabasi ya Super Sami: Mke mdogo asema rafiki wa marehemu huenda anahusika

    Uwenda alikua ni mama wa nyumbani na hajui biashara za mme wake, kwaio hajui cha mali yoyote ya mmewe ndio maana anaomba msaada kwa sababu alikua tegemezi anasubiri kuletewa kutafuta hajui
  2. elineema William

    JamiiForums Tanzania Matunda ya usaliti

    Duuuh usimwamini mtu aiseeee,
  3. elineema William

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha familia

    Kichwa kama rungu hahahahahahah na alivokikanda mafuta, hapo ukimnasa kofi kitalia paaaaaa
  4. elineema William

    JamiiForums Tanzania Mtoto anusurika kifo baada ya kusahauliwa ndani ya gari na baba yake

    Ndio mimi nimeshangaa, baba unaenda kazini na mtoto wa mwaka na nusu?? Je amekosa kabisa mtu wa kukaa na mtoto wake??
  5. elineema William

    JamiiForums Tanzania Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

    Mkuu kasema wako kwenye mahusiano miezi mitano, je hiyo ada alimlipia ya semista moja au miaka mitatu?
  6. elineema William

    JamiiForums Tanzania Umepita hapa?

    Asante mama bila wewe nisingefika hapa.
  7. elineema William

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha bora kwa kila m-danganyika hapa ni kazi tu

    Hivi ngo'mbe akifanya yake huko inakuaje
  8. elineema William

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi.....

    Alipanda na ngazi au
  9. elineema William

    JamiiForums Tanzania Hii rangi ndio inaitwa blue bahari au?

    Imemchora mpaka naniliu
  10. elineema William

    JamiiForums Tanzania Hongera Lucas Mhaville (Joti), Fungate Jumamosi hii

    Amebadilika kama Sio yeye...
  11. elineema William

    JamiiForums Tanzania hapo ukitokea tu umeishaa

    Hahahaha
  12. elineema William

    JamiiForums Tanzania Cha mzaramo kwa paja....!!!

    Mie sishibi kabisa hapo
  13. elineema William

    JamiiForums Tanzania Enzi za slim fit

    Wahenga matumbo rula
  14. elineema William

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hichi Ndicho Kiashiria Bora Kuliko Vyote Kuwa Mwanamke Kafka Kileleni

    Tango pori hili
Back
Top Bottom