Recent content by Elimu ya hapa na pale

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wale ambao hawakumuelewa Dr Slaa alipohoji kama Lowassa ni asset au liability nadhani sasa mmeelewa

    Mwacheni mzeee wawatu ajichungie mifugo yake jamaniiii. maaana suasa na ndoto za matumaini speed ya JPM imezisambaratishaaa. Yaaani anatia hurumaa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Madiwani watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wamejiuzulu

    Ukiwa na akilitimamu huwezi kuwamwanachadema kwa sasaa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hata wafanyejeee. sisi tutazilinda rasilimali zetu jamaaaa. madini ni yetuuu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nilichosikia kinaendelea CHADEMA kati ya Lissu na viongozi waandamizi wa Chama

    Hivi hicho chama bado kipo kweli??
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa akiamua kurudi CCM, CCM itamkataa?

    Kila mtu ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya tanzani. wakirudi watapokelewaaa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa Dr.Vincent Mashinji kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

    Haya mapovu yote mtanyamanza tyuu baada ya matokeo kutangazwaaa. Ngoja tukae kimyaaa wanyongee
  7. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM wajifunze kwa wenzao wa Jubilee ya Kenya

    Ya wakenya yanatuhu ni sisi,, hata tukikuuliza wewe sisi uchaguzi wakenya unatuhusu nini Na wakati Mungu kashatupa jembe letu JPM??
  8. E

    JamiiForums Tanzania CCM inafaa kutuongoza tena mwaka 2020?

    Hakuna anayeongozwa na CCM, isipokuwa kiongozi mahiri anayeongoza kupitia chama cha ccm. sisi hatuna shida na chama isipokuwa tunataka aina ya mtu yeyote kwa chama chochoteee. hivyo kusema ccm inaongoza sio kweli kwani ccm ni chama na kiongozi anayetuongoza anatakiwa kutuongozaaa. Kwa hiyo shida...
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    ODINGA
  10. E

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Uhusiano wa Kenya na Tanzania kuwa shakani iwapo.......!!!

    Eti EDO alienda kuwaomba wamasai wamchague uhuru eti kwa kuwa nikiongozi wa malaigwanani. hiii sikutumia ukabiala kwa inchi ambayo wanatukuza ukabila?? Hili la edo kwenda kenya sikuliunaga mkoonooo. maaanayake hata sisi itafika mahala tuwe tunahamasisha makabila yetu yawe yanachagua kabila...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Hivi ameongea dakika ngapi?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Hiiii ni hatariiii. kwelikweliiiii Ngoja tusubirie wachambuzi wa kisiasa wataongea nini. Ila tuwemakini tusije sababisha ugomvi na majirani zetuuuuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nakujibu mwanasheria Halima Mdee kama nilivyomjibu David Kafulila

    Toka 2015 walivyotubadilishia gia angani mimi hawa wapinzani siwaamini tenaaaa kabisaaa Nakupongeza mleta maadaa .umetufumbua machooo
  14. E

    JamiiForums Tanzania Upinzani waanza kumdai mrithi wa Prof. Muhongo

    MIMI NILIDHANI UPINZANI WANAMTAFUTA MRIRHI WA DR. WILLBRODI SLAA. KUMBE NI MAPOROJO TYUUU
Back
Top Bottom