Its Monday And TMT is making the second Batch, Group Two We have started and here i am SHOUTING that ONTARIO you are the baddest, The class is so inspiring and awesome. I am learning for sure.
BigUp to Ria and all the stuff at the TMT --- You owe us for sure.
Appreciation to and Big up to all the team Boss Jeff, Createn and Ria. You guys are unstoppable, you make money for no reason.
#KeepItBlue
Tukutane Kesho Asubuhiiiii...
"Trend is your friend, never trade against the trend" And the trend is FX. Am all in Bigboss ONTARIO
#WallStreetAtJangidPlaza
#Wolfs
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nawaza tuuu...
Nilisha wahi fikiria kama wewe na majibu sikupata, lakini nilipo muuliza moja ya walimu wa dini ya kikristo kuhusu uwepo wa Mungu na uwezo wake pamoja na contradiction zake Alinijibu kwa swali JE UNAAMINI SHETANI YUPO?? (Akawaweka Sub question je unaamini Uchawi upo?? na...
Habari wana wa jukwaa hili adhimu na lenye manufaa katika ukombozi wa kiuchumi, leo nipo hapa kuomba ushauri na msaada wa namna gani ninaweza kuanzisha biashara ya spare za magari.
Baba yangu amekuwa dereva wa magari makubwa kwa zaidi ya miaka ishirini sasa, ameniomba ushauri ni biashara gani...
Edo ZZK ni kama dhahabu kubwa iliyopatikana katika mgodi tasa, kwahio kila mchimbaji atataka aiguse na kuitolea mfano katika kila jambo linalo husu uchimbaji.
Watu wanaokaa kusema ya ZZK watasema sana mwaka huu kwa maana yeye ndio mwanasiasa mwenye nguvu akisemama peke yake bila kubebwa na...
Habari wana JF, Naombeni msaada wa namna ya kuweza kinunua bidhaaa au kuuza kupitia njia ya mtandao mfano Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more Ahsanteni.
DARE CONSULT INC.
Get quick guide on business investment, branding and consultancy.
- Company registration
- Business Registration
- Business Licensing
- Tax consultancy
- Business planning
- Business branding
+255 719155195
ellymdagach@gmail.com
dareconsult14@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.