Jerry Muro na Zitto Kabwe, Something familiar

Jerry Muro na Zitto Kabwe, Something familiar

Yule Jerry Muro(ambaye anasemekana ni msemaji wa Klabu ya Yanga ya Dar es salaam), busara zake zinapimika. Nilizipima siku moja wakati kiongozi wa Simba alivyoingia kwenye Jengo la Yanga kuonana na waandishi wa Habari waliokuwa wamehudhuria kikao pale. Nilikuta busara zake ni ratili mbili tu hasa namna alivyo'msaidia' kiongozi huyo wa Simba.
 
Pamoja na kuwa sikuwasikliza lakn uthibitisho wa wachangiaji unasema wote hutumia "nime..", "nili..." silabi hizi zinaonyesha ubinafsi mkubwa zilikitumika sana. Zinaonyesha ni jinsi gani mtu hupenda kujisifu na kusifiwa. Wabadilike tu hawajachelewa.
 
A politician must own an achievement, Nilimsikiliza Nyerere kwenye bunge la South Africa alipoalikwa kutoa hotuba ya heshima akisema "...Of course I built Tanzania...", Je ni yeye peke yake aliyeijenga Tanzania?
 
1.Mtoa mada bado una 20th century mind set,the world has changed so you must change with it.
2.Kipindi cha miaka ya nyuma katika jamii zetu ilikuwa kama wewe ni mtoto ukifanya mambo ya kijinga mtaani na akatokea mzee fulani hata kama sio baba yako atakutandika tu na ukienda home kusema kwamba umechapwa na mzee fulani dingi naye anakuongezea,its not the same anymore siku hizi gusa mtoto wa mtu uone cha moto
3.Fuatilia hotuba za rais Obama(especially during the campaign) uone jinsi anavyozisisitizia 'I' badala ya 'We',watu wanataka kujua nini msimamo wako juu ya jambo fulani,ulifanya nini katika jambo fulani,una mawazo gani wewe kama wewe katika kuipeleka nchi mbele ili tupate kuona kama unatufaa au hutufai
4.Habari za 'I' wakati unataka kuelezea point ya mambo uliyo accomplish ni unafiki na kukosa KUJIAMINI,dunia imebadilika.
 
A politician must own an achievement, Nilimsikiliza Nyerere kwenye bunge la South Africa alipoalikwa kutoa hotuba ya heshima akisema "...Of course I built Tanzania...", Je ni yeye peke yake aliyeijenga Tanzania?

Mkuu achana na mtoa mada,Topic yake ina misingi ya Chuki na si kingine,tena mbaya zaidi chuki yenyewe ni dhidi ya ZZK hapo Jeri Muro katumika kama chambo tu
 
kwa hyo mtu akifanya jambo zuri anatakiwa aseme "we" na akifanya jamabo baya aseme "i"
 
Vijana wengi teenagers wameaminishwa kuwa huyo kiongozi mkuu ndio msomi sana hapa tz kuliko yeyote nae huwatisha kwa kuonesha mavitabu yake na nukuu za viongozi, Ujinga wa huyu kiongozi mkuu utaugundua kwenye tweets na mikutano ya hadhara, ni mtu anayetakiwa kuongozwa na sio kuwa supreme
 
kwa hyo mtu akifanya jambo zuri anatakiwa aseme "we" na akifanya jamabo baya aseme "i"

Aha! watu kama wewe sio rahisi kuelewa mwanzisha thread anachokisema! Kwa elimu na ufahamu wa kitanzania siwezi kukulaumu! Hili kosa la kuongea kwa kutumia ''mimi'' ni watanzania wengi hawatawezi kulielewa. BTW huyu Jerry mla rushwa mkubwa ni tangu lini amekuwa mfano...ö
 
Chukulia mfano wa ZZK alipoacha kuchukua posho bungeni, Je awe anasema " Tulikataa posho" au aseme " Nilikataa kuchukua posho"?.

Au mfano mwingine ni pale alipopeleka hoja binafsi ya Corporate gain tax, Je akilizungumzia hilo unataka aseme " Tulipeleka Muswada" au " Nilipeleka Muswada".

Mwenye kufanya juhudi hana budi kujivunia juhudi zake, ZZK yuko sahihi kabisa ana haki ya kujivunia kazi yake.

Mfano tunaposema " Nyerere alimpiga Iddi Amini", haimaanishi ni yeye peke yake aliyefanikisha, bali juhudi zake ni nzito.
 
unajitekenya alafu unacheka mwenyewe!
 
Unapotaka kuongoza nchi changa yenye masikini wengi kama hii
hupaswi hata kukumbuka achilia mbali kutaja mafanikio kidogo uliyoweza kuyapata
kwani hawezi kuomba kuongoza bila kusema 'nilifanya hiki' na nilifanya kile'?

Kuwa mwenyekiti wa PAC ni lazima upewe dhamana na wabunge wenzio
kwa hiyo waliompa dhamana pia wameshiriki .....hapo umuhimu wa 'sisi' ndo ulipo
 
Siyo tu lugha ya uongozi hata kwenye research paper ya mtu aliyefanya utafiti fulani yeye binafsi haikubaliki kutumia maneno kama 'i' unatakiwa kutumia wingi 'we', huwezi kupersonalize academic work somply because lazima kunamchango wa watu wengine humo ndani. Ubinafsi mbaya sana.
 
Jana niliona mahojiano kidogo ya Jerry Muro kwenye kipindi cha MKASI EATV ambacho kikubwa nilichokiona kwa Jerry Muro ni 'entitlement feelings' alizo nazo

Ingawa kiukweli anaonekana ni mzalendo na anaipenda nchi yake na pengine anastahili
kupewa nafasi zaidi lakini kila anapofungua mdomo utamsikia akisema 'mimi nilifanya hivi' 'mimi nilifanya vile'.

Kuna kipindi alisema 'mimi nilikuwa mwanahabari wa mfano Tanzania' nikabaki najiuliza hiyo status alipewa na nani? ni lini alitangazwa wa mfano?

Nafikiri tatizo la Jerry Muro ni hilo....'kutwa anasema 'mimi' 'mimi'

Siku ile Zitto anatangaza kujiunga na ACT-Wazalendo kutwa alikuwa anasema 'mimi nilisababisha baraza la mawaziri livunjwe' 'mimi nilisababisha hiki na kile.

Ingawa yote aliyoyasema naamini yana kitu chenye ukweli but kumsikia kiongozi kutwa akisema 'mimi lilifanya hivi' 'mimi nilifanya vile' it is so irritating...

Lugha ya uongozi ni 'we' ....'sisi'

Naamini humu kuna washauri wengi wa Zitto na Jerry Muro. Waambieni tu kama wanataka kufanikiwa waache sasa hiyo lugha ya 'mimi nilifanya hivi' na waanze leo kusema 'sisi' na kutumia 'we' badala ya 'i' kwenye matamshi yao.

Ni kitu kidogo sana lakini kikuubwa sana.

Ubinfsi tu
 
Edo ZZK ni kama dhahabu kubwa iliyopatikana katika mgodi tasa, kwahio kila mchimbaji atataka aiguse na kuitolea mfano katika kila jambo linalo husu uchimbaji.

Watu wanaokaa kusema ya ZZK watasema sana mwaka huu kwa maana yeye ndio mwanasiasa mwenye nguvu akisemama peke yake bila kubebwa na chama TANZANIA yote.

All in all ZZK is a politician MURO is a journalist. No relation hapo na tukiendelea na relation mwishoni tutasema ZZK kama CR 7.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
we call the "ego-centric" people.. ni hatari sana, kwakuwa hawatambui kuwa ni kwasababu ya nguvu za watu ndio maana wamesimama.

Jana niliona mahojiano kidogo ya Jerry Muro kwenye kipindi cha MKASI EATV ambacho kikubwa nilichokiona kwa Jerry Muro ni 'entitlement feelings' alizo nazo

Ingawa kiukweli anaonekana ni mzalendo na anaipenda nchi yake na pengine anastahili
kupewa nafasi zaidi lakini kila anapofungua mdomo utamsikia akisema 'mimi nilifanya hivi' 'mimi nilifanya vile'.

Kuna kipindi alisema 'mimi nilikuwa mwanahabari wa mfano Tanzania' nikabaki najiuliza hiyo status alipewa na nani? ni lini alitangazwa wa mfano?

Nafikiri tatizo la Jerry Muro ni hilo....'kutwa anasema 'mimi' 'mimi'

Siku ile Zitto anatangaza kujiunga na ACT-Wazalendo kutwa alikuwa anasema 'mimi nilisababisha baraza la mawaziri livunjwe' 'mimi nilisababisha hiki na kile.

Ingawa yote aliyoyasema naamini yana kitu chenye ukweli but kumsikia kiongozi kutwa akisema 'mimi lilifanya hivi' 'mimi nilifanya vile' it is so irritating...

Lugha ya uongozi ni 'we' ....'sisi'

Naamini humu kuna washauri wengi wa Zitto na Jerry Muro. Waambieni tu kama wanataka kufanikiwa waache sasa hiyo lugha ya 'mimi nilifanya hivi' na waanze leo kusema 'sisi' na kutumia 'we' badala ya 'i' kwenye matamshi yao.

Ni kitu kidogo sana lakini kikuubwa sana.
 
nasikia Lyatonga Mrema anataka JK aendelee na urais kwa awamu nyingine

Hata mi nilimsikiliza mwanzo mwisho yaani hawana tofauti kwakweli wote ni wabinafsi,wangemuuliza Lyatonga mrema umimi uliopitiliza ulikomfikisha sasa.wangepata la kujifunza.
 
Back
Top Bottom