Pole km ulitegemea Mahakama ikupe jibu ulilokuwa ukisubiria... Bora ungeenda kujisomea mbinu za kudhibiti shinikizo la moyo uzeeni, ujiandae na njia za ku-cope na disappointments za ukawaida maisha kwa kila mtanzania!!
Kiongozi tunayemtaka ni mwenye jeuri kwa maslahi ya nchi, si mwema na mtu wa watu. Tumeona wengi wanaopewa nafasi kwa wasifu huu, na wote ni hovyo hovyo tu! Utu wao ni kuuza watu na mali zao wakiwa ndani, huku wanakuchekea, *{%[#[?]*]!]?\\
Source: Bunge-maswali ya papo kwa hapo.
Sasa yeyote anaweza kufanya chochote kinachoenda kinyume na Katiba alimradi tu itasaidia kufanya mambo yaende vizuri! Swali langu kila mtu/taasisi ikitaka kufanya hivi kwa justification zao itakuwa sawa? Au ni kwa wachache wenye mkono mrefu zaidi ya wa...
Even if proved guilty, dealing with him is just a tip of the iceberg. Wako wengi. Na inaeza kuwa Mbinu za kuwarejesha wadhungu au wasimamiz wageni ili kuonesha wazawa hatufai, if u know watta mean!
Jamani hiii serkali imefikia hatua inakera mpaka unakosa tusi... Yaani hamna siku inaweza kuwa proactive na kuanzisha mambo/actions za kutatua challenges hizi nyingi?, badala yake inaishia kuwa reactive everytime inapochukua hatua au kujibi lawama! Ati PM anasema si kwamba mkuu wa wilaya...
Mi nasikitishwa tu na politicians wenye upper hands, yani kwao si kushugjulikia matatizo wanayoambiwa, badala yake wanashughulika na msema matatizo....
A good lesson they should learn is that when you close one set of lips, there are always the next ones that will open... Mpambanaji...
Mabishano ya nini, tutoe data tuache kubwabwaja uzuri na ubaya wakati data zipo: haya jaza facts apo chini then tutakujumuisha, mfano:
Mazuri
1. Anajua urefu wa barabara zote Tz, pamoja na flyovers zinazokuja,
2. Anajua kutumia vyombo vya habari kutoa taarifa za wizara yake zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.