Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

Its not as easy as you think. Nakumbuka Mbeya walishasema mbeya ni nchi huru na Sugu ndo raisi, means pia walitaka mbeya ijetenge? Wale wa UVCCM waliposema raisi hatatoka kaskazini na kwamba raisi ajaye anajulikana na Kikwete walimaanisha nini
 
Kikundi chenu kinaitwaje Kisima Jongoo?Do you Think u will accomplish ur mission?
 
Junior Member Array

Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given

Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini

Mkuu huyu jamaa ni mgeni kwa ID ila ni mkongwe hapa ni kile kikundi ya Lumumba kikiongozwa na Rejao,Malaria Sugu and Ritz
 
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Na nina uhakika pasco wa JF anaijua hii siri!
 
nimesikitishwa na kauli ya mhe nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa tanzania. Japo mhe mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa chadema ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya chadema na tajiri wao sabodo. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

nenda kalete nyingine......hii ni craaaaap
 
Kwa mfano, kama kaskazina wakitaka kujitenga whats the effect? Even during independence Northen ilitaka kuwa nchi huru!
 
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Umejiunga tarehe 8/5/2012! tunajua moto unawaka huko ndani, kwa hiyo mko kazini kueneza poroja dhidi ya CDM. Kojoa kalale baada ya kutoa maoni yako kuhusu zanzibar!!

Mko kazini tunajua...
 
kweli nimeamini, ni hatari kufikiria kwa kutumia tumbo. Hivi huoni hata aibu kuanzisha thread ya kipuuzi hivi, we kweli kilaza wa mwisho, naona gamba mwenzio mama Porojo kapenda ulichoandika.

Mlaaniwe na mbinu zenu chafu.
 
Afadhali Nasary aliyesema yaliyoko moyoni kuliko mikoa/wilaya nyingi ambazo zimechoka na uonevu lakini zinafanya mambo kimya kimya. Kama hawapewi huduma wasemeje ?
 
Jamani ni post ya kwanza,tumsamehe bure kwa kumpotezea!

Huyu siyo yule nanihii.... Alianzisha sredi sassa hivi ya JF ni tawi la freemason? Nahisi kapigwa ban sasa amechonga tundu lingine!
 
Mi nasikitishwa tu na politicians wenye upper hands, yani kwao si kushugjulikia matatizo wanayoambiwa, badala yake wanashughulika na msema matatizo....

A good lesson they should learn is that when you close one set of lips, there are always the next ones that will open... Mpambanaji mwenzetu Ngugi wa Thiong'o aliwauta hawa "Grains of Wheat" !

And they will crop up mpaka kieleweke...
 
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!

Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 1
Likes Given 0

Kwa hiyo wewe umejiunga rasmi leo kuleta mada hii?. Nakushauri pitia thread zote za jukwaa la siasa ili ujiridhishe kuwa huwezi kuonekana wa ajabu. Maana unaweza kuonekana upo mwaka juzi wakati watu wanajadili mwaka huu.
 
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
"Hakika mtatafuta hata kwa tochi mchana kweupeeee mahali pa kuitoboa cdm na mtakosa sababu huu ni mpango wa Mungu! ccm kwa miaka 50 waliotuongoza imefikia mahali wamemkufuru Mungu kwa kuwatesa wananchi kama waisraeli walivyomdhihaki Mungu kwa kuchonga ndama wa dhahabu na kumwabudu!
 
Back
Top Bottom