Recent content by eliceco

  1. E

    Mabalozi wa Tanzania wanaweza kuwashawishi Diaspora kuvaa mavazi yatakayoitangaza vema nchi kila ifikapo tarehe 9 au 26 ya kila mwezi

    Historia inapotoshwa sana, hatuna nchi inaitwa Tanzania ilipata Uhuru tarehe 9, kuna Ulazima wa kuirudisha nchi yetu Tanganyika
  2. E

    BBA(Mwenge university ) vs taxation(IFM)

    BBA ili ujiajiri mwenyewe.
  3. E

    Naomba kujulishwa:Chadema, Mahakama, Zuio la Mikutano ya siasa.

    Safi sana umekumbusha jambo jema; tafadhali mwenye taarifa.
  4. E

    Nikimpa mimba Mwanafunzi wa secondary mwenye miaka 20+, kifungo kitanihusu?

    Kama ni mwanafunzi wa msingi au sekondari ni kosa ni miaka 30 ikiwezekana na viboko 12
  5. E

    Ni halali kulipia notification bila kupewa risiti?

    Ingawa sio mwanasheria; receipt (stakabadhi) ni ishara ya kwamba umelipa malipo no halali. Notification inaonyesha kosa na faini. Nakushauri nenda kituoni ili upewe stakabadhi ya malipo. Hiyo notification inaweza kutengenezwa mitaani siziamini sana.
  6. E

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Increment haiombwi iko kwenye mkataba wa kazi sio nyongeza ya mshahara.
  7. E

    Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    Zipi hizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    Kumrekodi mtu bila ridhaa yake Ni kosa ?

    Ni kosa, kwa sababu utakuwa umeingilia personal privacy.
  9. E

    Hadhi na Umaarufu wa Lowasa umeshuka mara dufu akiwa ndani ya CHADEMA kuliko alipokuwa CCM

    Kumbuka kuwa na nywele nyeupe sio alama ya uzee
  10. E

    GE2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...

    Kabla sijamfajamu vizuri Polepole nilifikiri mtu makini sana kumbe ni mtu hopeless kabisa ni mtu anayesahau jana, siku zote nitamkumbusha mtu mmoja aliyekuwa anamtukana aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata kilichopata baada ya kushinda urais ndugu CHANDA CHIMBA I I
  11. E

    Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Sio muda mrefu Polepole atakuwa kama CHANDA CHIMBA wa Zambia aliyejitoa kwa nguvu zote kumtukana, kumkejeli aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Michael C. Sata kipindi kama hili
  12. E

    Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    OUT hatuna mwanafunzi anaitwa Mussa Omary, wameokotana barabarani, wasiwaumize vichwa wanajamvi.
  13. E

    TBC sasa inaelekea iliko gazeti la Uhuru

    Mtangazaji, mmoja ndugu yangu pale TBC anakuambia ukionekana unataka kuripoti kama CNN; siku hiyo utapewa barua ya likizo pamoja na marupurupu, ukirudi nafasi yako imejazwa. Mshana is useless
  14. E

    Ni aibu mbunge kutojua lugha ya kingereza

    Watanzania, tusijidanganye kiingereza kipo juu, kwanza kiswahili ni somo ambalo wanafunzi wetu wanashindwa kwa kiwango cha juu. Mfano matokea ya hivi karibu, kijana mmoja amepata kiswahili C na Kiingereza amepata B+. Tafakari
Back
Top Bottom