Je una ushahidi wa kupewa ruhusa na huyo msimamizi wa kazi? na utaratibu wa ruhusa kazini ukoje, kama kakuachisha kazi akuandikie yeye, na si wewe kuandika barua hiyo,
wewe nenda kazini kwa sababu hujafukuzwa kazi bado
na usaini kitabu cha mahudhurio kama kawaida,
mwisho wa mwezi wasipo kulipa...
Wamekuwa wakisema hivyo alafu wanapotea wakutuacha tukishuhudia ndugu zetu wakifa siku hadi siku. Nitaamini baada ya kusikia inapatikan Tanzania. Pia watu kadhaa kukiri kupona
Mhh,kweli hiyo ndoa imekuwa ndoano, Ni kweli kama ndivyo ilivyo hata mimi namsikitikia huyo mtoto. Na pia inawezekana hampendi na hapendi kuondoka nae, ila ankukomoa tu kwa kuona kuwa inakuuma ukiwa kwa yeye kuondoka nae, Pia usishangae baadae akamrudisha yeye mwenyewe.
Angalizo kwa wanaume...
Kuna kitu sijaelewa, kipindi cha nyuma kulikuwa na sheria takribani zote mtandaoni,
By simple searching in search engines
Kwa sasa napata tabu sana kuzipata sheria hizo directly kwenye "search engines"
Ni kwamba zimehamishwa au zimeondolewa, na ni kwanini?
Natafuta pia sheria mpya ya mifuko ya...
Nimeenda Ofisi za PPF kuulizia lini wataanza kutoa hilo fao la kuijotoa wakanijibu hawajapata taarifa kuhusu utekelezaji wa fao hilo,
Maswali yangu ni kwamba
Je, ni wao wanaamua muda wa kuanza fao hilo au ni sheria yenyewe?
Na kama watachelewa kuanza ni ipi haki ya Mwanachama kulwazimisha...
Kwanini iende kuuzwa Uganda na sio hapahapa Tz?
Inammana kahawa inauzwa ghali sana ikiuzwa Uganda kuliko ikiuzwa Tz?
Tujiulize: kwanina bei ya kawawa iwe ni ndogo kwa Tz,
Mimi naona hao polisi wanawakomboa wakulima kwa kuwapatia mapato ja juu, kulioko huyu mtetezi wa wanyonge wa Tz. Pamoja na...
Kazi kubwa ya hicho Chama Cha Manyangau ni kuzuia chama kingine chochote kiiingie madayakani
Kwa sababu wanayajia yatakayofuata
CDM naipenda lakini kwa sasa naona imepoteza auimepotezewa dira
Labda wanajopanga kimya kimya then watufanyie suprise
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.