jf naomba kujua mfanyakazi wa mkataba anastahili kupata stahiki pindi anapohamishwa kituo cha kazi akiwa ndani ya mkataba,na je ni sheria,kanuni gani inamuongoza juu ya hili.
Gud kaka nmekuelewa sana, akina sisi tunasukumwa kutafuta kazi kutokana na stress na ugumu wa maisha ndio maana hata tukiingia kwenye interview tunajielezea sifa zetu badala ya kuelezea tutafanyia nini kampuni ama taasisi, pia uvivu wa kufikiri ndio inatupelekea kutegemea mishahara kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.