Mbowe ni mpigania haki, kama anakula pesa nani mshahidi nanii mtakatifu kuliko wengine, cha muhimu, hao wadhaifu waondoke, wabaki strong members only. Chadema bado ni strong sana, na imefanya kazi kubwa na kuibua mambo mengi yaliyojificha ndani ya nchi hii. So chadema tusonge mbele tupiganie...
Ook thanks for your good cement about it, but TANAPA failed many times and decided to use force to put the beacons in the villagers land, but for now the villagers go further for more clarification about it, and the law will take place, i bealive, and if you have more you can helping us
Wanakijiji wa kijiji cha momela wamepigwa mabomu kwa kuweka pingamizi la TANAPA kuweka mpaka kwenye mashamba ya wanakijiji na kudai kuwa ni sehemu ya national park, na mgogoro huo umekuwa ukisuluhishwa mara nyingi na wanakijiji kushinda hiyo kesi hiyo mara nyingi, lakini Askari wa Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.