Elias Urio
Member
- Nov 2, 2014
- 7
- 4
Wanakijiji wa kijiji cha momela wamepigwa mabomu kwa kuweka pingamizi la TANAPA kuweka mpaka kwenye mashamba ya wanakijiji na kudai kuwa ni sehemu ya national park, na mgogoro huo umekuwa ukisuluhishwa mara nyingi na wanakijiji kushinda hiyo kesi hiyo mara nyingi, lakini Askari wa Arusha national park walitumia mabomu kuwazuia wanakijiji wasiweke pingamizi la mipaka.
Jamani huu ni uonevu na serikali ni muhimu kuchukua hatua na kutokandamiza wananchi wa eneo hili maana ni wazawa wa eneo la momela-Arusha na maeneo ni yakwao . Lakini iweje leo waseme ni yakwao, na wakati Arusha national parks wanamaeneo makubwa lakini wanakuja kuchukua mashamba ya wananchi, that is not fair.
Please tunaomba serikali iingilie kati suala hili na wananchi wasinyang'anywe mashamba yao