Recent content by Electritian

  1. E

    Bashe: Serikali iangalie namna ya kupunguza Mfumuko wa Bei ya Vyakula lakini siyo kwa kumbana mkulima, kamwe sitafunga mipaka!

    Safi Sana Bashe kwa msimamo huo Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  2. E

    Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Hapo no 28 kufanya wiring umeme 650000 kwa hicho kibanda !!?hapana gharama za hivyo kwenye umeme hata kama utakiwekea a/c Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  3. E

    Serikali kuongeza kodi na kuzipa majina tofauti ni kuuhadaa umma

    Una ajili kubwa Sana '[emoji106][emoji106]SALUTE' Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  4. E

    Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Hivi ni wapi uliambiwa ukichanja huwezi kuambukizwa? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  5. E

    Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

    Mkuu waache wavikarabati vitakuja kurudi serikalini ni suala la muda tu Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  6. E

    Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

    Mkuu ulishawahi kumsikia mtu aliyeitwa Oscar Kambona ? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  7. E

    Dr. Bagonza: Mkandamizaji wako wa jana hawezi kuwa mkombozi wako wa leo

    Ubeti wa mwisho umebeba Ujumbe mzito:mkandamizaji anapomuhitaji sana mkandamizwaji ujue .........
  8. E

    GE2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

    SALUTE. jibu mujarabu kabisa hili yaani umemuua nyoka kwa kumponda kichwa
  9. E

    Askofu Bagonza nauliza upo upande upi kisiasa?

    Hongera:andiko mujarabu kabisa hili
  10. E

    Rais Magufuli jenga viwanja vya michezo kama vya majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya

    Wazo zuri sana pia itasaidia kuinua soka letu na hasa ukizingatia michezo na hasa soccer ni ajira kubwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    Hivi mbona laki 1 imekosa thamani kiasi hiki? Yaani inakuwa kama elfu 10?

    Sawa kabisa nakubaliana na wewe una kumbukumbu nzuri sana
  12. E

    Hivi mbona laki 1 imekosa thamani kiasi hiki? Yaani inakuwa kama elfu 10?

    Ni kweli ila haikuwa uwanja wa taifa ilikuwa Kilimanjaro hotel
  13. E

    Shahidi: Mbowe alitimua mbio kwa kasi, risasi zilipopigwa

    Kwani Mbowe nae alikuwa na bunduki? Kama jibu ni hapana unaona ajabu gani MTU kukimbia risasi zikipigwa MTU yeyote lazima akimbie
Back
Top Bottom