Hata vijana wakishapewa wanajisahau.Mfumo ni mbovu tukipewa ndo imekufa hivyo.
Ukiangalia mfumo wa uendeshaji wa Voda,Tigo na Airtel unahusisha subcontract kwa contractors wengi ambao wanafanya kazi usiku na mchana kila mmoja na task yake kuhakikisha mambo yanaenda.Sasa kwa urasimu wa serikali...
Hata kwenye Makinikia walijua kila kitu kwamba tunaibiwa lakini kuna mambo ya sheria nk ndio maana mpk leo hayajaisha.
Usifikirie kwamba serikali itaita press conference iseme kuanzia leo Airtel ni yetu,kuna process flani zitapitiwa.Let's wait tusipige ramli
Watu ambao hawajawahi kutoka nje ya tz na ambao hawana mishe mishe nchi za EAC ndo wanasema ife tu hakuna hasara.
Alafu ile Sera ya viwanda bidhaa zake ni za kuuza Marekani na UK?
Tangu nimeanza kusoma wanaoandika kuhusu issue ya Congo wewe ndo umeandika the fact on the ground.
Mataifa makubwa + UN ndio tatizo la Congo miaka yote.watu watakaa humu kumtaja PK na M7 miaka nenda rudi na hawatapata majibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.