Wabunge wa Tanzania na Burundi katika EALA wagoma kumtambua spika mpya

Kumbe hata wabunge wa CCM nao wanajua kususia.Mmepeleka ujinga wenu mbele saaana aise.
Hivi yule mbunge wa LIPUMBACCM amesusa kwa lugha gani kama tu kimombo wakati wa kuomba kupigiwa kula bungeni kilimuona vibaaaaya????.
 
Kipala kipya naona kaenda kuchukua posho ya siku pale lumumba fc.Hii mada haioni kabisa aisee.
 
naona hawa wabunge wa ccm toka Tanzania wanataka waokote uspika wa EALA
 
Wavunje bunge. Sasa mbona maalimu akisema haimtambua dr cheni mnamsuta kumbe na nanyi hamtambuani. Vunjeni tu hilo bunge ukweli ni gharama kuliendesha na halina faida kwa wananchi
Wenyewe wanafikiri wako bado Dodoma wamezoea sasa zamu yao kumbe kususa ndio fasheni sasa vile vijembe pale dom vilikuwa vya nini hasa yule kibajaji
 
Waambie hao wabunge wa Tanzania waache usenge! Kama hawataki kazi warudi nyumbani wakalee watoto!
Tanzania kama nchi, zamu yetu imeshapita, tumeshatoa spika, sasa ni zamu ya nchi nyingine. Huyo Kimbisa alieyambulia kura sifuri, message has been sent to him and it has been well delivered...
Burundi wanaong'angania wao wameshatoa katibu. Haiwezekani nchi moja ishike nafasi zote kwa wakati mmoja. Hao nao ni njaa tu zinawasumbua...
Vyuma vimekaza mpaka EALA
 
Hawa wabunge kutoka Tanzania wanatia aibu mbona wanasusia vitu visivyo vya msingi?Kanuni kama hizi mbona ni kawaida kukanyagwa kwenye bunge letu?Ingekuwa mambo ya msingi ningewaunga mkono lakini alphabet? Huu ni utoto kabisa!
 
Tanzania zamu yenu ilishapita mlpaparika nini hapo sio ccm mnataka kila sehemu muwe wababe
 
Yaani its shemless nyie zamu yenu imeisha yani Tanzania mnagombania nini mlizoe kuburuza upinzani mnadhani hapo mtamburuza MTU Tamaa za kijinga na umimi kama mnavyofanya hapa chini kwa sasa very self fish. ni aibu kila kitu uwe wewe tu mmeshajengwa hulka mbovu sana AWAMU hii kua ukisema jambo lazima likubaliwe wapi!
 
CoW in different way. Hii ni zamu ya Burundi. Katibu kutoka Rwanda anataka kuleta ubabe. EAC haina vision kama sheria zinakiukwa basi tukae upya tujipange tutakapokuw tayari tuunde. Waliotayari waendelee.
Katibu anatoka Burundi sio Rwanda
 
CCM ni mkusanyiko wa ajabu. Huku wanazomea CDM eti imetoka nje, rubbish EALA yanatoka je! Mkuki kwa nguruwe!
 
Back
Top Bottom