Recent content by EL_CHAPO_UNO

  1. EL_CHAPO_UNO

    Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Wamechapika na kusalimu amri elewa wanaposema wengine ni majeruhi na hata wale waliouawa bado miili yao ipo huko M23 wameizuia
  2. EL_CHAPO_UNO

    Wanaojua magari Naomba kujua changamoto za Toyota Sienta

    Moja ya changamoto kubwa ya hiyo gari ni kuwa ukipita mtaani na hiyo gari watu wanajua ni slay queen 👸 anapita so jiandae na hiyo changamoto kama wewe ni wa kiume.
  3. EL_CHAPO_UNO

    Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

    Jamaa katumia kimombo kuandika hekaya zake za uongo lakini Bahamian nzuri aliowataja baadhi yao washabondwa hasa huyo Israel tena na migambo inamchachafya.
  4. EL_CHAPO_UNO

    China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Ndio ni lazima kwa Usalama wa watu wake na ustawi wa taifa kw ujumla
  5. EL_CHAPO_UNO

    Dunia iliishia 1999

    B Bangi ikatazwe kwa nguvu zote
  6. EL_CHAPO_UNO

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Hahahaha we jamaa bana nimegundua wewe ndio tatizo
  7. EL_CHAPO_UNO

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Kumsaidia hapo kapime kwanza DNA, haiwezekani baba uko vzr mtoto mbugira
  8. EL_CHAPO_UNO

    Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

    Tatizo la wanazi wa SIMBA ni kwamba walikosa furaha kwa kipindi kirefu sana timu ilikuwa na mwenendo dhaifu kwahiyo hata tabia zao za kuongea sana zilipotea na wakabaki na msongo wa mawazo, sasa baada ya kumkanda yule asiye na malengo jana wameanza kuonyesha tabia zao halisi za kujiona wao ndio...
  9. EL_CHAPO_UNO

    Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

    Huna habar mwenyewe uko zako kwenye kabox kadooogo hata kujitikisa huwezi still una amani😆😆😆
  10. EL_CHAPO_UNO

    List ya short course za IT zinazolipa

    Mtu mwenyewe kasoma maarifa ya jamii
  11. EL_CHAPO_UNO

    Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Chama cha wachimbwa na wachimba tope onesheni umoja wenu sasa wakati wenu huu.
Back
Top Bottom