Waliokula tunda **** - SIHARA za watawa, malecture,maafisa elimu,wakwe,shangazi zao na yule wa under 18 ndo wamesabaisha uzi ufutwe! 😂😂😂😂😂😂😂
Waliokula **** - SIHARA za ma beki-3, wanachuo! Hawana shida
Wazungu huwa wanaduwaa kwa mambo ya Afurika, wazungu kiongozi anateuliwa kusimamia sheria nayuko kwa dhamana yawananchi!
Afrika kiongozi ni anajimilikisha nchi, mambo ya seblen kwake hayo,wengine ndoa haiwahusu
Nili smok,pombe,videm kupiga mtungo,kula kuberi,olevel na advanc skul nilikuwa napigwa spaa ndefu but home wala walikuwa hawajui, marafiki karibia wote sikumaliza nao shule coz walifukuzwa, kilichoniokoa kutofukuzwa shule ni AKILI BINAFSI NA KWELI siku waangusha! Wazazi wasinge amini yakuambiwa...
Rejea kichwa cha habari hapo juu! Wale wataalam kutoka ng'ambo huko mbele,wamesema ifikapo September mwaka huu viagra kwa wanawake itakuwa sokoni!!!
Swali!! Bila viagra nibalaa wakimeza itakuaje?!
Uzi tiar wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.