Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,937
- 870,936
Magesti yanafungwa ama kugeuzwa hospital, hostel ama makanisa.. Kama si sehemu za tuition na chekechea kama si vyuo vya uuguzi, usanii uandishi wa habari nknk... Hakuna yale maofisi tena yasiyojulikana yanafanya shughuli gani... Unaona tu watu wanatoka na kuingia... Wako busy waume kwa wake...
Hakuna tena kitu kinaitwa short time... Pesa imekimbia na watu wanaikimbiza lakini ndio kwanza inaongeza mwendo...
Siku hizi kuliko kupoteza hiyo ya shortime basi asavali umuongozee yeye kila mtafute pagale mupinde mgongo mgongo....