Recent content by El.pisterio

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaweza kulala kitanda kimoja na rafiki yake wa kike bila kufanya chochote?

    Imewahi kunitokea bana tulijuana na demu mmoja hivi mwanachuo nikiwa kazini tukabadilshana namba tukawa tunawasiliana then nikamtongoza akawa anazingua anadai ashatendwa sana na wanaume so hataki relationship na mtu hadi hapo akituliza akili lakini niliendelea kuwasiliana naye hadi siku moja...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Mnapopost matangazo ya biashara msisahau kutaja na bei ya mali yenyewe. Maelewano maana yake nini kama hujataja bei kwanza? Nimewahi kuona tangazo la kiwanja gazetini nikapiga simu ili niambiwe bei nikaambiwa ni kizuri na bei maelewano nikafunga safari kutoka Tabata na kwenda kuona kiwanja...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Sifa tofauti za watu wa wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala jijini Dar

    Kinondoni ndo wilaya yenye watu wengi kuliko hizo nyingine zote.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Kinachowapa raha ni ukubwa wa dushelele au ufundi wa mwenye dushe?

    Duh ati nini? Team vibamia wanawapaka shombo tu? Wacheni hizo bana
  5. E

    JamiiForums Tanzania nifanyaje na huyu bwana

    Wewe si ulijidai unaenda kusoma unaacha mume? Shauri yako na wengi mnapoteza kwa staili hii. Ulishindwa nini kuolewa halafu uende shule? Umeshapoteza tafuta wa kwako achana na mume wa mtu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wadau tumemsajili rasmi Calum Chambers dogo anaweza kucheza right back, central defence na defensive midfielder. Plan za Wenger ni kumfanya kama Emmanuel Petit aliyekuwa namba mbili mkali akageuka kuwa kiungo wa ulinzi hataree.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

    Mbona mnajipigia sana tu ila ishu zenu ni kuiba pesa tu kwenye mapenzi ni sifuri hampo. Ndo maana wanawake hawawataki na mtaendelea kuchapiwa na wahaya.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

    Nawakubali sana wahaya wanajali sana wake zao na wanajua sana mapenzi wanaume wengi wanawaita wahaya wahuni kwa vile wananyanganywa sana mademu zao huwezi kushindana na mhaya kwa mwanamke aisee jamaa wanajua sana kubembeleza na hata akimpata demu anamtosheleza ni adimu kuckia mhaya kanyanganywa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    Yataibuka mengi tu ya mbio za urais kila mtu na mgombea wake. Hiyo ndo CCM ngoja tusubiri tuone. bado kina Ndugai, Simbachawene, Nkamia, Komba, Nyambari, Prof. Maji Marefu watakuja
  10. E

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Naenda kufanya majaribio mkuu nikifanikiwa nitarudisha mrejesho
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma Mpenzi wangu.

    Si kila kitu cha kupost JF. Unaomba ushauri gani kwa jambo dogo na la kawaida kama hilo?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapeleka kikosi cha JWTZ Wilaya mpya ya Nyasa

    Apigweeeeeee. Apigweeeee. Hakika ya Nduli yanarejea safari hii na mimi ntakuwa mhamasishaji niingie kwenye vitabu vya kumbukumbu ya Tz.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba-waifu

    Mrejesho lazima nitawapeni wana mmu.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba-waifu

    Usiogope Evelyn Salt. Karibu pm
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba-waifu

    Usikate tamaa huyo ameandika huku amelewa na chupa yake ya konyagi mkononi
Back
Top Bottom