nifanyaje na huyu bwana

nifanyaje na huyu bwana

Pengine umri wako ni mdogo kutokujua jema na baya.... ni vizuri kusikiliza ushauri wa wazazi lakini ni vizuri zaidi kuchuja mawazo yao na kuwaambia msimamo wako na sababu zake hasa.... otherwise nikutakie siku njema dogo.
 
Umeanza kufunuliwa at 17? Aaah...! Hata hivyo umejitahidi kuwa nae kwa miaka name, sio mbaya... Sasa unaanza cycle nyingine, usipoangalia by 28yrs watapita wengi..SIO LAZIMA WOTE TUSHAURI..wengine tunachagiza tu..
 
Kwa kumbukumbu zangu wewe dada uliliwa humu jamvini na jamaa mmoja

Jamaa wa watu kwa kweli alitia hurumu we ukawa unarembua. Ukamkataa mbele ya umma wa JF

Leo unakuja kulia humu ! Pathetic ! You are an idiot
 
Hilo ndio tatizo la bandika bandua...huwezi msahau mtu kwa kumtafutia replacement 'bora liende'....

Tulia upate kitu quality...

Huyo ulonaye unamtumia tu huna mapenzi naye (rebound)
 
Miaka 8 hamna ndoa na huku mnasema bado mnapendana?
 
Japo sijajua umeachana nae kwa muda gani, lakini saikolojia ya mapenzi inasema ili uweze kumsahau mtu inapaswa ukae walau kuanzia siku 90.

Na hili litawezekana kama utakuwa tayari kujenga mazingira ya kuweka mipaka ya mawasiliano kati yenu.

Jaribu kutengezena maneno yatakayo kufanya uone swala la kurudiana nae ni ngumu kama ilivyo ngumu wewe kurudia uchanga wako. na maneno hayo jaribu kuyarudia rudia kila mara mawazo ya kumkumbuka yanapokuijia

Labda mfano wa maneno hayo unaweza kuwa hivi, ana mke , ana mtoto, n.k ili mradi tu yaonekane kama ndio kigezo kikubwa cha wewe kutokuruduiana nae hata siku moja.

Pia jaribu kuwa karibu na huyo mpenzi wako wa sasa, chukua muda wako kujisomea na kujipumzisha kwa mambo madogo madogo yatakayo kuweka bize kiakili.

Mwisho, Pole sana kwa yaliyokukuta.

asante kwa ushauri najitahidi juu hiloo asante saaana
 
Kwa kumbukumbu zangu wewe dada uliliwa humu jamvini na jamaa mmoja

Jamaa wa watu kwa kweli alitia hurumu we ukawa unarembua. Ukamkataa mbele ya umma wa JF

Leo unakuja kulia humu ! Pathetic ! You are an idiot

hahahahaha ucnikumbufushe fun yangu na ya my friend
 
Wewe si ulijidai unaenda kusoma unaacha mume? Shauri yako na wengi mnapoteza kwa staili hii. Ulishindwa nini kuolewa halafu uende shule? Umeshapoteza tafuta wa kwako achana na mume wa mtu
 
Back
Top Bottom