Recent content by el patron

  1. E

    SWALI: Huu ni ugonjwa gani wa kuku kwa dalili hizi ?

    Kupooza ni dalili ya kukosa madini,mwone vet wa karibu akushauri.
  2. E

    Nataka mitetea 100

    Habari wadau,natafuta kuku mitetea wa miezi 6,idadi itategemea na bei.
  3. E

    Kupata VVU si kazi rahisi

    Kupata ngoma sio jambo rahisi aisee,nakubaliana na ww.
  4. E

    Hiki kikifanyika tutafuga kwa tija na kuuza mazao yetu ya mifugo nje

    Tatizo lingine kila mtu anafanya kibinafsi,kwa hiyo uzalishaji unakua katika viwango visivyofanana kiubora,tungekua na vijiji vya kilimo biashara ambapo wafugaji na wakulima wanajiunga katika vikundi na kuweka wasimamizi wa miradi ambao ni wataalamu kungekua angalau na uhakika wa soko pamoja na...
  5. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wadau wazoefu wa mikoani,nina safari ya tanga wiki ijayo,wapi naweza kupata kuku ambao bado hawajachoka,yaani wanakaribia kutaga.
  6. E

    Tunabebeshwa mzigo mkubwa: Watoto Japani wasema Tanzania wanaishi masai na wanyama tu

    Mfano wazungu hawajui mataifa mengi afrika,wanajua afrika ni nchi moja,lkn sisi kudadeki,mm niko primary najua kila nchi duniani jina lake na mji mkuu,na haijanisaidia kitu.
  7. E

    Tunabebeshwa mzigo mkubwa: Watoto Japani wasema Tanzania wanaishi masai na wanyama tu

    Nakumbuka darasa la nne,kilimo cha mpira malaysia,ndo mana elimu yetu ngumu,mavitu kibao kwny kichwa kimoja.
  8. E

    Power window

    Nilikata bima ndogo mkuu
  9. E

    Power window

    Nimeenda kwa wachina,wamenipiga 4m,na wanasema vioo original hakuna.
  10. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Eneo la eka nne naweza jenga banda la kuku wa nyama wangapi?
  11. E

    Kamata fursa, Kuwa milionea

    Ilikua 150k lkn kuanzia leo ni 250k
  12. E

    Kamata fursa, Kuwa milionea

    Nimeenda mwnyw juzi kwny makao makuu ya hawa Namaingo Business Agency,kwa niliyoshuhudia ni kweli nimeshawishika kuwa hii fursa ni ya ukweli. Wenye uzoefu zaidi na hii kitu changieni,this could be the next big thing where entrepreneurship is concerned.
  13. E

    Kamata fursa, Kuwa milionea

    Mbn mleta mada hujibu maswali!?
  14. E

    Kamata fursa, Kuwa milionea

    Mradi unaanza lini?
  15. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Naomba ushauri,kuku wa nyama anakula mifuko mingapi kwa wiki?
Back
Top Bottom