Power window

vioo vipo mkuu kwa wachina vimejaa kibao ,k/koo ,ilala, au hata hapa sayansi kwa wachina vipo tele hupati tabu unanunua na wanakuwekea wenyewe.
 
Habari wadau,gari yangu imepata ajali na imepasuka kioo cha nyuma,mbele na vya pembeni,msaada wapi naweza pata vioo tajwa original?

Gari ni suzuki grand escudo.

Pole sana Mkuu. Sidhani kama utapata vioo original, lkn vioo vipo vingi na utavipata.
 
Nilikata bima ndogo mkuu
Pole sana mkuu hapa ndio umuhimu wa Bima kubwa unapokuja. Usingekuwa unaangaika kutafuta hizo spareparts, sasa hivi ungekuwa unasubiri kupigiwa simu na watu wa bima kwenda kuchukua gari yako ikiwa tayari. Hiyo 4M utakayolipia spare ungelipa bima ya zaidi ya miaka 5.
 
Back
Top Bottom