Hellow wana JF jukwaa la MMU,
Mwenzenu sasa ni kijana mkubwa, umri miaka 29 nimechoka kukaa peke yangu, i need to have someone we can cherish this life together.
Mwenzenu sitafuti mpenzi tu, natafuta mwanamke wa kuoa na nasikia harufu ya kumpata JF. Hata kama sio member, kama unafahamu mtu...