The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 20
Heee!! umenuishtua mkubwa, mbona mimi na-play kwangu na ni East Africa Community Anthem??
Hebu sikiliza vizuri mbona link yangu inaupiga vizuri tu
Au unaenda kwenye link tofauti?
Sorry the song is funny. Kwa nini wamechukua beti ya kwanza kutoka Kenya, Tanzania ´na Uganda? Je Rwanda na Burundi si sehemu ya EAC?
Kenya
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Tanzania
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume ma watoto
Mungu ibariki
Tanzania na watu wake
Uganda
Oh Uganda! may God uphold thee,
We lay our future in thy hand.
United, free,
For liberty
Together we'll always stand.
Oh Uganda! the land of freedom.
Our love and labour we give,
And with neighbours all
At our country's call
In peace and friendship we'll live.
Oh Uganda! the land that feeds us
By sun and fertile soil grown.
For our own dear land,
We'll always stand:
The Pearl of Africa's Crown.