Ni ngumu kuthibitisha kama tuko katika maisha halisia au ndotoni. Mambo tunayoyafanya tukiwa ndotoni tunaweza kuyafanya pia tukiwa katika uhalisia. Mfano, mtu anaweza kucheza kucheza mpira akiwa katika uhalisia lakini pia akafanya kitendo hicho hicho akiwa ndotoni!
Hizi dini zilipoingia hatukupata muda wa kuzihoji, tulizibeba nzima nzima. Kwa sasa tunazihoji tukiwa ndani ya dini hizo kiasi kwamba hatuwezi kufanya mabadiliko tukiwa humo.
Sheria hii itakuwa na utata mkubwa sana katika utekelezwaji wake. Sifikirii kama itakuwa rahisi sana kudhibiti miziki isipigwe makanisani wakati eneo hilo limerasimishwa kwa shughuli za ibada. Kwa wakristo leo, mziki umeshakuwa ni sehemu ya ibada na makanisa yako katikati ya jamii. Hivyo...
Mimi huwa nasikia miaka 2000 iliyopita baada ya Yesu kuzaliwa. Hapa huwa haitajwi namba dhahiri ya miaka kama vile 2019, bali huwa wanatumia tu miaka 2000.
Maana yangu ilikuwa ni kwamba "hata watu wa shetani wanapokutana pamoja hasa kwenye hafla zao wanabusuana miguu" na kwa mantiki hiyo, suala la kubusu miguu tu haiwezi kumfanya mtu mtumishi wa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubusu tu miguu ya watu haitoi uwezekano wa kuwa mtumishi wa Mungu. Hata wale wasiokuwa wa huyo Mungu (wasiokuwa na dini ) wanafanya hata mitaani huku tunaowaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere na Nkrumah kama wangefufuka leo "wangesema mawazo yetu hayafai kutumika katika zama hizi ", na kwa kuwa hawatofufuka kutueleza, tunapaswa pia tujiongeze. Maendeleo tuliyoyafikia kama taifa au ulimwengu kwa ujumla wake, tunapaswa tujikite kufikiria solutions ambazo ni time and environment...
Ndugu wana jf, tra waliwahi kuja kufanya tathmini katika biashara zangu wakaniambia nilipe kiasi fulani kama kodi, lakini makadirio hayo kwa sasa naona sipati kitu kabisa, hivyo ninapenda kuwaandikia barua ya kuwaambia wanipunguzie kodi kwa kuwa biashara imeganda tu.
Ninaomba mwenye sample au...
Jifunzeni kuchukulia mambo mengine kikawaida sana. Ninadhani mwandishi una sababu zako tu na Magufuli na sio usingizie kauli hiyo. Hata utetezi ulioutoa hapo hauna mashiko hata kwa mimi ambaye sijamaliza darasa la saba.
Biblia inasema katika kitabu cha WARUMI 2:12 kwamba " Waliokosa pasiposheria wataangamia pasipo sheria, na waliokosa wenye sheria watahukumiwa kwa sheria ". Ukiendelea kusoma chini yake utaona inaeleza kuhusi "sheria ya asili waliyokuwa nayo watu mioyoni mwao tangu zamani mpaka sheria andishi za...
Ni wanawake asilimia ndogo sana unaoweza kuwa nao katika mahusiano alafu mkawa mna-share mambo ya msingi. Wanawake wengi katika mahusiano ukitoa ngoja hawana kingine cha kutoa. Wao wanafikiri kuwa mapenzi ni ngono. Mijadala mnayajadili mkiwa pamoja ni ya ujinga ujinga kama vile movie, fiesta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.