Recent content by El Capitan

  1. El Capitan

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

    ahead wapi wewe bongolala na FIFA rankings mpo nyuma ya Kenya na Uganda
  2. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF: Kenya haina Kiwanja chenye sifa za kutumika AFCON

    Simba na Yanga ndio kujua mpira ilhali mnapigwa na Liechtenstein timu ambayo ni namba 205 kwenye FIFA rankings 🤡
  3. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eliud Kipchoge atunukiwa PhD ya Heshima, Wasomi wote wameikubali!

    Hivi unajua maana ya honorary doctorate?
  4. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Annexation of People's Republic of Kenya into the Great Tanganyika under the United Republic of Tanzania

    hivi mnavuta nini huko Tanzania, maana ni ya grade ya juu sana
  5. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My fellow East Africans, Kenya, Get rid of your primitive tribalism

    It's only about politics and politicians use the tribal card to divide and rule.
  6. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto to deploy Kenyan troops to Haiti, do you see parallels?

    na hivi Tanzania mnaweza kitu Gani zaidi ya bongo fleva, nyimbo za kugegedana ?
  7. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto to deploy Kenyan troops to Haiti, do you see parallels?

    Supported apartheid? Story za vijiweni
  8. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sidhani kama Wakenya wanaoandamana wana akili timamu

    Sema wajaluo ndio wanaoandamana, huku mkoa wa bonde la ufa mahindi tayari imeiva
  9. El Capitan

    JamiiForums Tanzania Pape Sakho atimkia Ufaransa

    na Kelvin John nadhani yupo Genk
  10. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The army must overthrow President Ruto

    server ipi ifunguliwe ilhali ilishafunguliwa supreme court
  11. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Tume huru ya Kenya inapata kigugumiz kufungua servers za matokeo ya uchaguzi?

    Tanzania hata kupata matokeo ya kura kwenye runinga na internet ni kizungumkuti sasa iweje mambo ya server
  12. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hakuna demokrasia Wala uhuru wa Mahakama ni uhuni mtupu

    achana na huyo zumbukuku, anaiwaza kenya tu, huwezi muona kwenye forum zingine, huyo ni wa kupuuzwa tu, ni kama hata hajui ni nini kinaendelea nchini mwake, ni taahira fulani hivi.
  13. El Capitan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu Gani ya Soka kutoka Kenya Iko mashindano ya CAF?

    Sasa kwa kuwa ligi yenu ipo Bora kuliko ligi ya Nigeria, mumeishinda Nigeria kisoka kivipi kama sio ushabiki uchwara wa simba na yanga
Back
Top Bottom