UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,157
- 10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Kuna muda nikiwatazama ndugu zangu na jirani zangu wakenya napata mashaka sana na uelewa wao.
Hivi kinachofanya muandamane na kuharibu biashara za watu ni nini? Hivi mnadhani kuna kiongozi wa Serikali atakuja kuwaletea maisha mazuri kweli?
Mlivyo wajinga kila siku mnalima Mirungi ili muisafirishe nje.
Mnashindwa kulima Mahindi na nafaka kwa ujumla nyie mnalima Mirungi, sasa kama mnalima Mirungi mnahangaika na vurugu za kupanda kwa maisha na kuongezeka kwa bei katika nafaka kwa nini? Yaani Ulime Mrungi halafu ushindwe kulima Mahindi kisha uanze kuandamana kwa kuilaumu serikali?
Ukiingia Kenya kuanzia hapo Migori hadi Kisumu kuna Ardhi nzuri inayositawi mahindi na nafaka kwa ujumla lakini hamtaki kulima mwisho wa siku mnaanza kuitupia lawama serikali, mmeamua kulima Mirungi basi hakikisheni mnakula hiyo Mirungi na muache kuisumbua Serikali.
Endeleeni kufanya ujinga wenu kwa kulima Mirungi mdhani mnaikomoa serikali kumbe mnajikomoa wenyewe.
ACHANENI NA MIRUNGI LIMENI MAHINDI MUONDOKANE NA NJAA WAJINGA NYIE!.