Recent content by EJay

  1. E

    Jeshi la polisi Dar lakusanya milioni 840 kwa faini ya makosa mbalimbali ya barabarani kwa wiki moja

    Elimu gani kwani wanajifunza kuendesha magari hao madereva? Hakuna dereva asiyejua sheria za usalama barabarani ni kwa ukaidi wao tu wanazivunja Hivyo traffic wawapige fine tu
  2. E

    Familia imeniambia nisioe mwanamke asie na kazi ya Serikalini eti atanitegemea sana. Je, ni sahihi?

    Upo? mimi wazazi waliniambia nioe mwanamke yeyote unayempenda awe na tabia njema, heshima hata kama hana kazi ila asiwe amesoma sana hadi chuo kikuu
  3. E

    GE2015 Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!

    Kumbe nchi hii bado kuna watu wanaota ndoto za mchana? upawa washindwa uchaguzi huu mapema sana, Lowasa ndo nani na upawa wao? Magufuli bulldozer hana mpinzani hapo
  4. E

    Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

    Tutampa nafasi ya Salva Rweyemamu, acheni nongwa na Buhohela subirini tukamilishe ratiba ya uchaguzi tu atakuwa Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu.
  5. E

    Nahitaji mahindi Arusha

    Tsh. 720 per kg, Is it possible?
  6. E

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    ni kanuni ya chadema au mmejipangia, mbona majimbo mengine hakuna kitu kama hicho binafsi naona huyo dogo kaonewa
  7. E

    Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    ni ishara ya zamani kidogo from 1990's ilianzia kule America kusini ambapo kwa sasa ndo imefika huku kwetu ila kule wameachana na ishara hii na sasa wameshabuni alama zingine! pamoja na kuwatumia watoto kuwa punda within the area!
  8. E

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    sio kama unavyofikiri, this issue is too complicated mwisho wa siku wote watatiwa nguvuni. cha msingi ni ushirikiano baina yetu sote.
  9. E

    Waafrika Kusini wapewa ardhi nyingine na Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ni wajinga na wapumbavu tu watakaoshabikia Huu mradi wa Makaburu pale Mlimani city, anyway sometimes siwalaumu maana mnachojua ni kuandika hapa tu pasipo uhalisia wa jambo lenyewe. .............
  10. E

    Waafrika Kusini wapewa ardhi nyingine na Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Zanzibar Spices Ebu jaribu kusoma tena post ya mdau hapo juu labda utamwelewa maana naona povu jingi hamna hoja. suala la kupewa eneo kwa bei sawa na bure ni kero kubwa na tunaendeleza unafiki kwa wageni lazima ifike mahali tuangalie maslahi ambayo taasisi zetu na nchi inapata.
  11. E

    Zitto Kabwe apewa tuzo ya Most Inspiring Politician 2015 na UDSM

    Hata mimi ni udsm allumni na ninaunga mkono Zitto kupewa tuzo
  12. E

    Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

    mkuu Yericko Nyerere naomba utofautishe kati ya upelelezi na ujasusi, yaani intelligence and investigation.
  13. E

    Zimechapwa usiku kucha Congo wacha iitwe Congo aisee

    nami sijasikia kabisa hivi ukoje?
  14. E

    Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    asaNtE MkUu kwa ElImu nZurI naimani itaniongezea UFanIsI kAZinI
Back
Top Bottom