Nakushauri tafuta simu hizi mbili Google pixel 7 au iphone kuanzia 11 ila changamoto ya iphone ni kukaa na charge kwaiyo tafuta Google pixel ziko poa sana Kwa upande wa kamera
Huuu Uzi Kwa Sasa wadau hawapo mana wimbi la watu kukosa usingizi nazani limeongezeka kutokana na Hali ya maisha pia lakini pia namba ya watu wenye misongo ya mawazo kuwa wengi watu wangekuwa wanapeana mbinu mbali mbali za kujikwamua katika hili
Bei imebadilika asaivi 10300 per kg kama usafili ni wako kama usafili ni wao jamaaa 10000 per kg inamaana kama unambuzi wapi sehemu ni wengi vya kutosha hutoa gari yao Kuna kuwafata Cha umuhimu ni upate tenda ya kupeleka mzigo ndio inakuwa rahisi kwako maaana tukipeleka mbuzi kichwa kichwa...
1)Kwanza lazima uwe na cheti Cha mtaalamu wa madawa mfamasi
2)Uwe na sehemu iliyokaguliwa(unaenda ofisi za afya za mtaa wa fomu unajaza unapeleka Kwa mfamasia wa halmashauri husika ili uweze kupata kibali Sasa
3)kibali Cha biashara tra
Hapo you're good to go
Vitu venye uhitaji Comoros
Nyama fresh meat
Milk
Rice
Na nazani ni fursa nzuri kwetu watanzania kwenda huko njia rahisi ya kusafirishia ni kupitia mtwara na Kuna meli kule ya mizigo kabisa ilikuwa ishamalizika kutengenezewa sijajua mama safari zimeanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.