Achana na fikra za kutazama maamuzi kwa kutizama utendaji wa NIDA yawezekana kuna taasisi nyingine inahitaji kuingizwa au tunahitaji approach mpya.
Sasa hivi tulitegemea kumsikia waziri akifafanua sera mpya za mpango ambazo ndiyo approach tutakayotumia kwa wataalamu kukaa kusema hili liwekewe...
Kama mimi ningekuwa nafanyisha usali wewe kwa jibu hili ungekuwa umefeli interview.
watanzania wanachokitaka kusikia kutoka watu wa mipango ni kwa namna gani tutatengeza ajira.
Kitabu kimeandikwa na mtu mwenye mindset kama ya kwako na hao Sisi hatuwahitaji tunachotaka ni wanaosema it is...
Juzi nilimsikiliza waziri wa mipango akiongea clouds nilishangaa sana waziri wa mipango anaongea habari ya ajira kama ambavyo kila layman anaongea. eti anasema serikali haitoi ajira watu wajiaijri.
Mimi siamini kama vijana wanakosa ajira, wanakosa kwa sababu ya kukataa ajira za sekita binafsi...
Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika.
Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia kalamu.
Mitaala na sera ni mibovu kwa kuwa waandaji (kamati) wa mitaala hawaonekani kuelewa taifa...
Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide
Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka.
Sasa...
Kuna mambo huwezi kuyajua mtu ambaye hauko kwenye chain ya biashara hiyo
mfano anaweza Kuibuka mtu anatoa tuhuma uta vyombo vya habari uhusu samaki au nyama hasemi msile la ule usema una Tatzo biashara kuanzia hapo hudorora sana.
haya n mambo hufanywa na watu mbumbu lakini serikali lazima...
Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri
Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini
yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona.
Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai.
Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo.
Siku akiona upepo umebadilika anabadilika na kuanza kusema NO.
Lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini.
Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua...
hizo ni fikra za watu wasiojitambua
katika jamii yetu, uholela ndiyo mipango katika kila kitu. kama tunataka kuondoa uholela tuanze kutunga kanuni taratibu na kuweka taratibu bila kuvuruga shughuli za kiuchumi.
kwa wananchi kuuza mazao nje hata bila utaratibu ni faida kwa wakulima wenyewe na...
Kama mkataba ni mbaya na ni wa milele,
Turufu yetu ya kwanza kujitoa ilikuwa kupingwa na bunge ingekuwa wazi kwamba mchakato wa kisheria haukamiliki kwa mtu mmoja kutia saini.
Hiyo wabunge wetu wanajigamba kuwa magwiji wa sheria hawakuona.
Sasa ni kuunda timu ya kuchunguza ambayo itaibuka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.