Recent content by Eggy Muffy

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hivi mshahara wa PUTS 2-3 ni shilingi ngapi? anayejua naomba msaada tafadhali. Kuna kazi nataka kuomba lakini sijui namba za mshahara zaidi ya hizo herufi hapo juu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

    Mzungu jee???
  3. E

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

    Hivi kwanini mwafrika anakirihika kuona mwarabu anahamia Ulaya? Ningeelewa kuona mwafrika anaumia kuona waarabu wanahamia Afrika. Lakini Ulaya inatuhusu nini?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watu wanaishi maisha ya uwongo na Fitna, Sina tatizo na Dr. Slaa

    JF haipo juu ya chochote, bali ipo chini ya punda wa kubebea sumu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa Amerudisha Kadi ya CCM?

    Kadi ya ccm huwa hairudishwi. Ile ni akiba. Hata Slaa hakuwahi kuirudisha na mpaka mwaka 2012 Slaa alikuwa anaendelea kuilipia kadi yake ya CCM wakati akiwa katibu mkuu wa chadema na mgombea urais kwa tiketi ya chadema.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    Kambi ya Lowassa wanataka kujifanya wameibuka washindi katika hili:becky: Kikwete hapa amefanya umafia wa aina yake. Baada ya kugundua kwamba hawezi kuyazuia mafuriko kwa mikono, alichofanya akayatengenezea njia tena kwa kijiti tuu, akayaelekeza baharini.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    Umeona eeh? Nyerere mwenyewe alikuwa anatibiwa London na umauti ukamfuata hukohuko.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    Jamani... kuna vitu naomba niseme. 1. Kuna msemo wa kizaramo unaosema hivi..."mzigo mzito mpe mnyamwezi abebe". Wazaramo na wanyamwezi ni watani kiukabila. Jakaya Kikwete ni mzaramo. (Wakwere ni derivative ya wazaramo) John Pombe Magufuli ni (Mgeita). Katika macho ya mzaramo, mtu wa Geita...
  9. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kwani hao watano wametangazwa wapi wazee? Au mnataka kututia wasiwasi sisi wadau wa safari ya matumaini?
  10. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    :blah::blah::blah:
  11. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Hivi babaake John Nyerere kafia wapi vile?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Nyerere mtamtetea sana.... na mtayaficha madhambi yake yote. Kamwe hamtakataa kwamba alikuwa akiugua, alikuwa anaenda kutibiwa Ulaya.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Hata kumfuata mkuu wa chama cha ACT hukohuko alipo ACT na kumpa sumu ni haki yake ya msingi.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Zitto akutana na wahariri usiku huu Dar

    Nyerere hakuwahi kuasisi chama cha siasa. Zitto amewahi. Kwanini tumsikilize nyerere badala ya zitto?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Itanichekesha sana kama Boko haram watapoa katika utawala wa Buhari

    Mtu mdini ni mdini tuu..... una wa-mind mpaka wa Nigeria?
Back
Top Bottom