Recent content by Eg kille

  1. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Je ni fani ipi toka veta ina ajira

    Upishi
  2. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea kama secretary reception au assistant admini

    Nina stationery huku mwenge njo tufanye kazi kwa mwezi 150000
  3. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue naye awajibishwe

    Umeona ehee hana jipya la kusema
  4. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Mh. Mwigulu aanza kazi kwa vitendo huko Morogoro

    Hana jipya huyo
  5. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekaribisha upinzani Serikalini mwake

    Kati ya sku zote amebolonga kwa mawazili utafikir nchi nxima hakuna wenye uwezo ila ni haohao tuuuuuu
  6. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Magufuli anafanyia kazi ushauri wa TISS!

    Amechemka kwa mawazir kuwarudisha walewale alikuwa anaenda vixur ila hapo shida hii Tanzania wasomi ni hao hamna wengine maana wengine ni mzigo Wa kikwete
  7. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Nimetongoza 3 wote jibu ni YES., sasa nataka kuwatoka 2 abaki 1 nifanyeje?

    Mwanamke ukimpa Pesa lazima uambiwe I love u much ukimpa vocha anawasiliana na mchepuko hatakuweka ww kipaumbele kifikra so ushaur wang acha wote wambie kila mtu sasa nimeamua kuokoka niishi maisha mapya na Yesu uachane na dhambi
  8. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    Watoe hiyo kodi yakaisar mpe kaisar na ya Mungu mpe mungu
  9. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Tunakuombea J PM mungu atakulinda kazana tambua Tanzania ipo mkononi mwako kama mfalme kanisa lipo nyuma yako kukubeba usianguke
  10. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Itambue thamani ya uliyenae

    Acha mchepuko ww je na mkeo akiwa mchepuko nn kinatokea Pepsi ni Pepsi haiwez kuwa fanta bn radha ni ileile tena mkeo ndo atakuwa mxur kuliko hao wengine hizo Pesa unazohonga mpe mkeo apendeze
  11. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    :thumbup:
  12. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Itambue thamani ya uliyenae

    :thumbup:
  13. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Zamu ya Wakuu wa Mikoa wanaowaburuza Wafanyakazi SELO na kunyima LIKIZO

    Mwachen afanye kazi achen majungu hapa kazi tu
  14. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msichana wa ndani

    mshahara kiasi gan mpendwa
  15. Eg kille

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msichana wa ndani

    Leo cku ya ibadaa lazima utambue thamn ya MTU unayeenda kumuuabudu na sababu gan ilikufanya umukaribishe maisha mwako ?
Back
Top Bottom