kyannala nabiso
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 645
- 143
- Thread starter
- #21
wote wanaojifanya wana nia nawe wanajua ww ni KE omba MUNGU wasikukute ni ME
Asante ubarikiwe.
wote wanaojifanya wana nia nawe wanajua ww ni KE omba MUNGU wasikukute ni ME
Diploma ya Secretarydiploma ya nini?
diploma ya nini?
Kama nakufahamu vile.. ila sina uhakika.
Nina stationery huku mwenge njo tufanye kazi kwa mwezi 150000
Unanifahamia wapi mpendwa?
Wapendwa natafuta Kazi ya kujitolea kama
Secretary, receptionist, assistant admini.
Elimu yangu Diploma
Ninauzoefu wa miaka mitatu (3)
Kwa Kazi nilizo taja hapo juu. Naishi Dar ees salaam. Asante
Diploma ya Secretary
Mh! Watu wa jamiiforums bwana haya niliyategemea maana huwa hayakosiDiploma ya Secretary?? Ni ipi hiii??
Mie nafahamu Diploma in Secretarial......
Na wasiwasi hapa.....