Sema mwana utakua smart sana. Mimi sijui sheria, ila nimeliona hili, kuna muda unamsikia Lisu anataka huruma ya Mahakama. Kama anavyosema yeye yupo ndani kwa siku kadhaa. Ila muda mwingine anakua kama mbishi liwalo na liwe, kuwaadaa mashabiki wake.
Hii issue kama sio mkazi wa eneo la tukio au alijakukuta basi haujui nini kinaendelea.
Ndo maana nasema vijana wengi tunaishi kimuemuko, Ila hatuna taarifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.