Recent content by EDWINI

  1. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO MWANZA- MAGU- NYANGUGE IDARA YA MSINGI NATAKA KWENDA MORO MJINI, PIA UNAWEZA KU-GOOGLE UTAJIONEA! TUWASILIANE KWA EMAIL lkazaura@gmail.com au 0713308372 nawasilisha.
  2. E

    Kati ya mpangaji na mwenye nyumba, nani anayeruhusiwa kuvunja mkataba

    Mpangaji mwenzangu alilipa kodi ya miezi sita, kumbe pale kuna mauzauza kibao yani uchawi. Suspect ni mwenye nyumba madharau, matusi kibao na vijana wake baada ya huyo mpangaji kuyasema bayana wakataka kumrudishia kodi ya miezi 3 iliyobaki kwa kukata pesa za umeme na maji ili aondoke...
  3. E

    Saada Mkuya amkekalia vyema kiti cha waziri wa fedha

    Wanajf, Sikuwahi kufikiria kama Saada Mkuya anaweza akanena kauli thabiti kama alivyofanya wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake, amejibu maswali kwa uhakika bila mbwembwe, kigugumizi na kwa kujiamini. Kiukweli kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja ya mbunge wa CCM. Kumbe mwenyekaya...
  4. E

    Ili kumkomoa huyu tufanyeje??

    qualifier hata sie hayo tunayajua kwamba lazma yafanyike tsm9 picha zake huscaniwa wanafunzi wanaposajiliwa kwa ajili ya mtihan wa drs la saba na yawezekana, hadi sasa kuna wanafunz majina yao yameuzwa kwa wanafunz wengine na mie ndo mwl wa darasa sasa wewe unachobisha nakushangaa! anayepeleka...
  5. E

    Ili kumkomoa huyu tufanyeje??

    In short tulifikiri tumuharibie kama anavyotuharibia sie kwan kuuza jina la mtu ni kosa la jinai. Lakini je tuanzie wapi?
  6. E

    Ili kumkomoa huyu tufanyeje??

    aishapewa live ila ana kiburi kulingana na kuwa afsa elimu alifanya kazi na baba yake hivyo asikilizi la mtu
  7. E

    Ili kumkomoa huyu tufanyeje??

    Wadau tafadhari msaada nina mkuu wangu wa shule ana kihelehele sana pamoja na serikali kutotambua mchango mkubwa wa walimu bado mkuu anakufatilia kisa anataka umaarufu kupitia kwako siku moja tu haujafika kazn na ulimpigia simu kwa vile hujasaini popote anaamua kuandika barua ya utoro anapeleka...
  8. E

    Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    2liosoma 2natosha yani unataka 2kose heshima mtaani?
  9. E

    Jkt kwa mujibu wa sheria form 6 2014

    Inakuwaje kwa private candidates?
  10. E

    Naomba mwenye kujua huu wimbo anisaidie

    Wana jf naomba mtu anayefahamu jina la msanii na jina la wimbo ambao eatv wanautumia kwenye bango lao la tunawakililisha it sound like. Yelele.
  11. E

    KENYA : Orange Party demands KDF troops withdrawal from Somalia to save lives

    This artical must be considered at the muximum extent. Thats only a deal left
  12. E

    Nataka nikasomee Health Records and Information Management

    Kama wewe sio mtumishi wa serikali huwezi jua utamshauri mtu afanye kama ujuavyo but find an info abt that.
Back
Top Bottom