Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum naomba mnisaidie kufikisha kilio hiki sehemu husika. Ahsanteni
Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu .
Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi yameongezeka lakn Tanesco hawajabadili transforma, umeme ni mdogo hata friji na pampu za maji haziwaki...
Hapana kuna kazi pia ya customercare inahitaji mtoto wa kike mwenye muonekano mzuri wa kuongea na wateja lakini pia lazima ajue hizo skills hapo juu tena ajue sana sio kidogo
Anahitajika mdada mwenye ujuzi wa wa IT
Kwenye nyanja zifuatazo:
1. Graphics design
2. Microsoft package
3. Networking design and implementing
5. Social media marketing
6. Good customer care
Nicheki chap inbox
Kimbia kama upepo. Achana na Deni bank wauze.mpewe kilichobakia.
Fata taratibu za kutoa taraka. Hakuna upendo tena hapo utakuja kufa na stress
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.