edwin89 Member Joined Apr 12, 2016 Posts 98 Reaction score 106 Sep 15, 2023 Thread starter #61 Ambition plus said: Haya wapelekeeni hao wazungu uko..sisi tupo Wacha niwatafute zanlink Click to expand... Mkuu Zanlink wamesambaa kote???
Ambition plus said: Haya wapelekeeni hao wazungu uko..sisi tupo Wacha niwatafute zanlink Click to expand... Mkuu Zanlink wamesambaa kote???
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,281 Reaction score 33,590 Sep 15, 2023 #62 edwin89 said: Tunakuja mgaa upwa. Upo maeneo gan mkuu?? Click to expand... Kimara,mbezi,kiluvya,malamba mawili,kibamba,kifuru,g'mboto,goba,mbagala n.k kote huko kuna wateja
edwin89 said: Tunakuja mgaa upwa. Upo maeneo gan mkuu?? Click to expand... Kimara,mbezi,kiluvya,malamba mawili,kibamba,kifuru,g'mboto,goba,mbagala n.k kote huko kuna wateja
edwin89 Member Joined Apr 12, 2016 Posts 98 Reaction score 106 Sep 15, 2023 Thread starter #63 Tutafika mkuu na wewe utakuwa mteja wa Kwanza nitakupigia
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 6,401 Reaction score 12,016 Sep 15, 2023 #64 edwin89 said: Mkuu Zanlink wamesambaa kote??? Click to expand... Yes
mutu murefu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 1,037 Reaction score 2,736 Sep 15, 2023 #65 Moja ya marketing ya hovyo kuwahi kuona. Unavokuja na tangazo make sure umejipanga na information zote Sasa mtu unazunguka weeeh thread inakua ndefu bila sababu za msingi. Pale page ya kwanza ilitakiwa information ziwe zinajitosheleza. Kuanzia kila kitu hasa package zenu ndio la msingi kuliko vyote. Sasa wewe unakuja na bla bla tu mara bei itakua nafuu mara sjui nini! Watu wanataka ku compare cost zenu na huduma zenu vs waliopo hawa TTCL etc. Hebu boresheni kitengo cha marketing kwenye kampuni yenu. Otherwise hampati wateja kqa namna hii.
Moja ya marketing ya hovyo kuwahi kuona. Unavokuja na tangazo make sure umejipanga na information zote Sasa mtu unazunguka weeeh thread inakua ndefu bila sababu za msingi. Pale page ya kwanza ilitakiwa information ziwe zinajitosheleza. Kuanzia kila kitu hasa package zenu ndio la msingi kuliko vyote. Sasa wewe unakuja na bla bla tu mara bei itakua nafuu mara sjui nini! Watu wanataka ku compare cost zenu na huduma zenu vs waliopo hawa TTCL etc. Hebu boresheni kitengo cha marketing kwenye kampuni yenu. Otherwise hampati wateja kqa namna hii.