Recent content by edwin4

  1. edwin4

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wadau kuna mwamba aliwahi kukomenti humu kwamba ana connection na shule za technical. Najaribu kuitafuta coment yake siipati . Mnatumia laptop msaada tafadhali [emoji120]
  2. edwin4

    Maji ya upako ni nini? Ni kweli? Yanatoka wapi? Yanaponya?

    Mimi mama yangu ametajiwa majina ya wa chawi waliokusudia kumuua na kupitia ibada ya maji na mafuta, kapona kabisa. Ukumbi wa makosa Iringa kwa mtoto wa Nabii Mriri
  3. edwin4

    Kilimanjaro: Vituo vya mafuta vimegoma kuuza mafuta hadi kesho Aprili 6

    SISI WA TANZANIA NI WAPUMBAVU SANA ET TUNAMLAUMU MAMA NA WAKATI HUO HUO TUNAIPONGEZA CCM.
  4. edwin4

    Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    Hahahaaa! nikipata wa kwenda nao nafikiri mda wowote tutakao kubalia na[emoji23]
  5. edwin4

    Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

    Jamani wale ambao tunampango wa kwenda kwa babu tuungane ili twende pamoja
  6. edwin4

    Wafuga kuku tukitane hapa

    Naomba kujua namna faida inavopatikana kwenye hii biashara
  7. edwin4

    Waganga wa kienyeji wametusaidia. Tusiwabeze

    Nipe connection mkuu.
  8. edwin4

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nasumbuliwa na keloids kifuani, wapi nawezapata sindano maalumu ya kuinject dawa kwenye hizi vimbe? sindano hizi za kawaida hazina uwezo wa ku supply dawa vizuri na pia hua zinapinda. Nipo tayar kiinunua kama itapatikana.
  9. edwin4

    Ukilala usiku weka kipande cha kitunguu maji unyayoni upate faida kiafya

    Wajumbe kama kichwa kinavojieleza naomba sanaa sapport yenu, Mdogo wangu anasumbuliwa na KELOIDES
  10. edwin4

    Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

    Heshima yenu wajumbe[emoji119], Natafuta mtu mwenye connection nzito hapo Moro mjini .Natamani saaana kufanya maisha hapo jmn. Government employee.
Back
Top Bottom