Gtt
Senior Member
- Apr 22, 2017
- 128
- 123
Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Kijana wenu nimekuja hapa kuomba msaada wa kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuwa wakala wa soda za pepsi au cocacola pamoja na bia
Kwa yeyote ambaye yuko kwenye biashara hii au mwenye uelewa nayo na anayeweza kunipa mwanga ili kujua pa kuanzia naomba mwongozo wake, Eneo nilipo mimi ni Kahama mjini.
Asanteni sana